Kwa mujibu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) takwimu hizo ni kwa mataifa yote duniani
Taarifa hii imetolewa leo tarehe 10 Septemba ikiwa ni siku ya kupiga vita matukio ya watu kujiua...
Mzuqa!
Jamaa yani ana sura kama ya Nyau. Anapenda sana vita. Hajui kwa ushauri wake angesababisha uchumi wa dunia kushuka. Pongezi kwa Trump kwa kubadilisha maamuz na kumpuuza jamaa.
Iran na...
Ilikuwa wakati wa kihemko mnamo Septemba 8, 2019 katika ibada ya Jumapili ya moja kwa moja kutoka SCOAN, ambapo Nabii TB Joshua chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu alikuwa kwenye jukwaa na wana...
The Taliban said on Tuesday that it would continue to fight against US forces in Afghanistan. The group's spokesman, Zabihullah Mujahid, said to AFP, "We had two ways to end occupation in...
Bilionea huyo aliyechoche biashara kupitia mtandao(Internet) ameondoka rasmi katika nafasi ya Mwenyekiti Mkuu wa Kampuni ya Alibaba
Hatua hii ya Jack Ma, inakuja ikiwa ni baada ya muongo mmoja wa...
Robert Mugabe ameondoka. maandiko yametimia: Kila nafsi itaonja mauti.
Pamoja na kuondoka kwake maswali ni mengi yamebaki. Moja ya maswali ni kisa cha mauaji ya mvua za vuli.
Mapema miaka ya...
Watu 23 wameokolewa kutoka katika meli urefu wa futi 656 inayojulikana kwa jina la Golden Ray baada ya kupinduka ikiwa katika pwani ya Brunswick huko Georgia Marekani
Kikosi cha uokoaji...
Lebanon's Hezbollah Israeli drone in southern town
Al-Manar TV says Israeli drone is now in the hands of Hezbollah's fighters after it was shot down in the town of Ramyah.
1 hour ago...
Serikali ya Sierra Leone imesema kuwa itaunda kamati ya kuchunguza tuhuma za walinzi wa Rais Julius Maada Bio kuwashambulia wanahabari
Wanahabari hao wameripotiwa kushambuliwa kwa kipigo wakati...
Trump awashangaza tena Wamarekani kwa bwabwaja zake, asema: Vimbunga vishambuliwe kwa bomu la nyuklia!
Aug 26, 2019 06:01 UTC
Donald Trump
Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa matamshi...
London, Uingereza (AFP). Shirika la Ndege la Uingereza (BA) limefuta karibu safari zote kutoka au kuingia Uingereza, baada ya kuibuka kwa mgomo wa kwanza wa marubani ambao umesababisha kuvurugika...
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na...
Hezbollah says shots down Israeli drone over Lebanon
Home
/ Middle East
/ Lebanon
A Hezbollah fighter holds an anti-aircraft missile (R), as he takes his position with his comrade between orange...
Moto unaoendelea kuwaka katika msitu wa Amazon nchini Brazil umevuka mpaka na kuteketeza hekta elfu moja na mia saba za misitu nchini Bolivia.
Ofisa wa Idara ya Misitu ya eneo la Santa Cruz...
Takribani watu 11 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduliwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa
Kikosi cha uokoaji kimefanikiwa kuwaokoa watu 27 waliokuwa wakisafiri kwa...
Watu 29 wamuawa Kaskazini mwa Burkina Faso katika mashambulio mawili. Lori la uchukuzi limekanyaga bomu la kutegwa ardhini lililotengenezwa kienyeji na kusababisha vifo vya watu 15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.