Baada ya raia wa Africa Kusini kufanyia vitendo vya kinyama wageni kutoka sehemu mbali mbali za Africa sasa ni wakati wa nchi za kiafrika kuitenga rasmi nchi hiyo kama mataifa mengi za dunia...
Aliyekuwa mkuu wa polisi wa Uganda Jenerali Kale Kayihura
Washington. Serikali ya Marekani imempiga marufuku kuingia nchini humo aliyekuwa mkuu wa polisi wa Uganda Jenerali Kale Kayihura pamoja...
Wanajamvi,naomba waelewa wa mambo ya uchumi mtufafanulie hili,,iwapo nchi zote duniani zitaachana na matumizi ya US dollar,Kama pesa ya kibiashara ya dunia,hivi bado uchumi wa Marekani utakuwa...
Alipo simama kutoa rambirambi zake uwanja mzima wakalipuka kwa kelele kumzomea mpaka wachungaji wakaibuka kutuliza hali
Kiukweli rais huyu ameonekana kukatisha hotuba hii inatokana na mauaji ya...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, amewaomba waafrika msamaha pamoja na kuonesha kujuta kwake, kufuatia mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni yaliyotokea siku za hivi karibuni nchini humo na...
ZIMBABWE: Msemaji wa familia ya Robert Mugabe amesema familia pamoja na viongozi wa jadi wamekubaliana na Serikali kuwa Mugabe azikwe kitaifa Jijini Harare
Viongozi wa jadi na maafisa wa Serikali...
Viongozi 10 wa kiafrika wanatarajiwa kuhudhuria shughuli ya maziko ya Rais wa kwanza Zimbabwe Robert Mugabe. Hayo yameelezwa na msemaji mkuu wa Serikali na Mwili wa marehemu ulirudishwa Zimbabwe...
The U.S. government concluded within the past two years that Israel was most likely behind the placement of cellphone surveillance devices that were found near the White House and other sensitive...
Kambi ya jeshi inayosadikika kua ya Iran iliyo mpakani mwa Syria na Iraq imeshambuliwa kwa makombora na kuua zaidi ya watu 18 wakiwemo wairani pamoja na wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran...
Pengine ni haki yao kulalama,lakini kwa nini iwe ni kwa wahamiaji wa kiafrika tu ndio wasiotakiwa na wenyeji?.
::::::::::::::::::::::::::::::::::: Zimbabwe 649,385
Mozambique 381,386
Lesotho...
Meli ya mafuta ya Iran iliyo katika mgogoro wa kimataifa imeonekana karibu na pwani ya Syria , kulingana na picha za Setlaiti.
Meli hiyo ya MV Adrian Darya 1/Grace 1ilikamatwa na Gibraltar mwezi...
Takriban Mahujaji 36 wa Shiite wamefariki na wengine 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea Msikitini wakati wa ibada ya Ashura mjini Karbala
Mamia ya Mahujaji hao walikuwa wamekusanyika...
Habari Wakuu
Nimeona leo Waandamanaji huko Hongkong wakiimba wimbo wa Taifa wa USA na kupeperusha bendera za USA kila kona,na wakati huo huo wakiimba Jina la president Trump na USA.
Suala la...
SEPTEMBER 11,2019
President Nicolas Maduro deployed 150,000 troops to his country's border with Colombia as tensions continue to rise between the two countries.
"The moment has come to defend...
Rais wa bunge la Ufaransa Richard Ferrand ameazimia kubakia kwenye nafasi yake baada ya majaji wanaohusika na uchunguzi kumuweka mshirika huyo wa karibu wa rais Emmanuel Macron chini ya uchunguzi...
Saudia nako kumekucha. Wakina mama waanza kutuplilia mbali mavazi ya gubi gubi! Hakika mabadiliko hayazuiliki; Milenia ya Tatu imeanza kwa kasi sana!
===========================
Riyadh (AFP) - Her...
Huko Uyahudi nako wavurugana kuhusu Sabato; wasafiri au wasisafiri? Mambo ya dini hayo! Hakika dunia imekumbwa na mabadiliko yasiyozuilika; kizazi kipya kimeingia duniani Milenia ya Tatu imeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.