International Forum

News and Stories from rest of the World
Saudi Arabia imesitisha kwa muda uchimbaji mafuta katika vituo viwili ambavyo vimeshambuliwa na ambavyo vinamilikiwa na kampuni ya mafuta ya nchi hiyo Saudi Aramco. Waziri wa nishati ambaye pia...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Rais Donald Trump amesema Marekani iko tayari kujibu mashambulizi yaliyofanywa katika miundo mbinu ya mafuta ya Saudi Arabia, mashambulizi ambayo Marekani imeoinyoshea kidole cha lawama Iran...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Washington, Marekani. Kufuatia mashambulio katika vituo vikuu vya mafuta Saudi Arabia, maafisa nchini Marekani wamekuwa wakizungumza kuhusu kutumia akiba kubwa ya mafuta iliyofichwa nchini humo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu 24 wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa leo, baada ya bomu lililokuwa limetegeshwa kwenye moja ya magari ya Polisi kulipuka Kaskazini mwa nchi hiyo huko Parwan Hakuna mtu au kikundi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ashusha mabomu tani 40, kipigo cha carpet bombing ni aina ya kupiga mabomu bila kujali wapi unapiga, yaani mwendo wa kushusha tu, full milipuko hakuna kinachosazwa iwe panya, paka au bnadamu...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Millions of pigs have been culled across Asia in a bid to curb the spread of the disease South Korea on Tuesday reported its first cases of African swine fever, becoming the latest country hit by...
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Maelfu ya Watoto waliachiwa kutoka katika vikosi vya mapigano baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya amani mwaka jana(2018) Tume ya Haki za Binadamu nchini Sudan Kusini imesema kwa uchunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiongozi Mkuu wa Upinzani, Hwang Kyo-ahn amekuwa wakwanza kunyoa nywele kama ishara ya kumpinga waziri huyo ambaye familia yake inatuhuma za rushwa Hwang Kyo-ahn amenyoa nywele zake mbele ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huko Marekani padri mmoja wa kanisa katoliki jimbo la New Mexico amehukumiwa miaka 30 kwa kusa la kulawiti na kuwadhulumu watoto kingono. Padri huyo baada ya kusikia anatafta akamatwe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Siku zote ukifa lazima upendeze, hata kama ulikuwa na maovu gani. Lakini cha kushangaza Nd. Mugabe aliyekuwa Rais wa Zimbabwe na mpigania uhuru, ngozi nyeuoe haikutaka ukaribu hata wa jeneza lake...
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Daktari kijana aliyekuwa akiongoza mgomo wa Madaktari nchini humo kutokana na malipo kiduchu kutoka kwa Serikali ametoweka katika mazingira tatanishi Dr. Peter Magombey ametoweka wakati ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eneo la Molise, pori la kupendeza lililosahaulika litamlipa mtu yeyote aliye tayari kuhamia zaidi ya Tsh. 60,000,000/= kwa miaka mitatu sawa na malipo yanayozidi milioni moja na nusu (1,500,000/=)...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Mashambulio manne ya makombora katika siku tatu; tukio la aina yake katika vita vya Yemen Aug 04, 2019 10:50 UTC Ikiwa ni katika kujibu mashambulio na jinai za kinyama zinazotekelezwa na muungano...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
US Stealth Bomber costing $2.1bn and with call-sign 'DEATH' lands at British RAF base after training mission in Iceland as stunned plane fanatics look on Plane spotters received an unexpected...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mzuqa Jana jamaa kajitoa mhanga kwa kujilipua na kuua wanamgambo wtatu wa Hamas. Hamas inaishutumu kikundi cha ISiS. Hali sasa hivi Gaza ni ya kutisha cha kushangaza hawa watu Israel siyo tishio...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumbe Saudia inajua kushambulia tu wa Yemeni lakini mfumo wake wa kujilinda na makombora ni bure kabisa. Wahuthi kwa sasa wana locally made drones zenye uwezo wa kwenda kushambulia hadi karibu...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Bei ya mafuta huenda ikaongezeka kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya kushambuliwa shirika la mafuta la Saudia Sep 15, 2019 12:27 UTC Vyombo vya habari vinavyojishughulisha na masuala ya uchumi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Published 08:41 (GMT+0000) September 12, 2019 Multimission Launcher demonstrator. Photo courtesy of White Sands Missile Range The U.S. Army is scheduled to conduct a flight test of the Low-cost...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom