International Forum

News and Stories from rest of the World
Tunis (AFP) - Former Tunisian president Zine El Abidine Ben Ali, the first leader to be toppled by the Arab Spring revolts, died Thursday in Saudi Arabia, Tunisia's foreign ministry told AFP. He...
2 Reactions
3 Replies
670 Views
Anajiona naye ni mbabe kumbe wanamcheki tu! ======================================= (Bloomberg Opinion) -- Iran is convinced that it is winning the confrontation with the U.S. and Saudi Arabia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Prime Minister Benjamin Netanyahu said today that despite his efforts to build a right wing government, "there is no choice but to form a broad unity government." "Benny, it is on us to form a...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiongozi wa mgomo wa Madaktari nchini Zimbabwe aliyekuwa ametoweka katika mazingira ya kutatanisha apatikana akiwa hai Chama cha Madktari nchini humo (ZHDA) kimesema kuwa licha ya kupatikana kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwezi Juni, watu 160 waliuwawa katika jimbo hilo la Ituri na zaidi ya watu 300,000 walikimbia ghasia zilizosababishwa na wanamgambo wa jimbo hilo kulingana na taarifa ya kiongozi wa kijamii kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo yanaendelea kuwiva sasa.
3 Reactions
47 Replies
3K Views
facebook twitter youtube instagram HomeUSA News Iran thaw coming? After firing chief hawk, Trump hints at lifting sanctions on Tehran Published time: 11 Sep, 2019 17:59 Donald Trump and...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Uganda imesaini makubaliano na Urusi kuisaidia kujenga uwezo wake wa kutumia teknolojia ya nyuklia kwa matumizi ya kutengeneza nishati, dawa na matumizi mengine ya amani. Hatua hii inafuata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BARAZANI TUNISIA: demokrasia imekwama au imesonga mbele? Na Ahmed Rajab JIONI ya Jumamosi iliyopita nilikuwa na mwanahabari mashuhuri wa Tunisia, Mounira Cheib, kwenye mkahawa mmoja jijini...
1 Reactions
2 Replies
916 Views
Shambulio la vituo vya mafuta Saudia: Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionZaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Askari zaidi 12 wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika (AMISOM) kutoka Burundi wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la kuvizia nchini Somalia. Shumbulio hilo lilitokea...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Rais wa marekani Dornad Trump amesema, tiyari wamesha tambua ni nani aliye husika na shambulizi kwenye mtambo ya kuzalisha mafuta ya Saudia arabia, na si mwingine bali ni Iran lakini pamoja na...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Marekani imeendeleza shinikizo dhidi ya Iran, ikiituhumu kwa kupanga mashambulizi yaliyoharibu mitambo ya mafuta ya Saudi Arabia, licha ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen kusisitiza wao ndio...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Drone strikes knock out half of Saudi oil capacity, 5 million barrels a day By John Defterios and Victoria Cavaliere, CNN Business Updated 5:14 PM ET, Sat September 14, 2019 Abu Dhabi (CNN...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Zamani nikiamini sana nguvu za Marekani na washirika wake, kuwa ni nadra sana kuweza kufanikisha shambulio ndani ya Marekani na nchi washirika wake kama Saudi Arabia, Israel, South Korea na Japan...
23 Reactions
124 Replies
12K Views
Makubaliano yanatarajiwa kufikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu. Zimbabwe ilikumbwa na ukame na mafuriko mwanzoni mwa mwaka huu > Majanga hayo yaliharibu miundombinu ya kilimo na kusababisha baa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Moto umechoma shule ya mnabweni katika eneo moja lililopo viungani mwa mji mkuu wa Liberia Monrovia na kuwaua watoto 23. Moto huo unaaminika kuanza mapema alfajiri wakati wanafunzi hao walipokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, katika marais wa hivi karibuni wa US hakuna rais alikuwa Nyamera na mtata Kama Bush mtoto. Huyu rais alikuwa asikilizi la mtu iwe UN, mabunge yake, nk alikuwa akiamua kukugonga unagongeshwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mahakama ya Juu nchini humo imeendelea kushikilia uamuzi kuwa kuwaadhibu watoto kwa viboko ni kosa Mahakama ilieleza kuwa ni kinyume cha katiba kuwachapa Watoto Baba wa Mtoto wa miaka 13...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya kiMarekani iitwayo Match Group ambayo ni "giants kwenye online dating" yenye thamani ya $20 billion (karibia Tsh trillioni 50), inayomiliki mitandao na Apps mbalimbali za online dating...
8 Reactions
99 Replies
10K Views
Back
Top Bottom