International Forum

News and Stories from rest of the World
U.S. Army to procure new-build Apache AH-64E attack helicopters Aug 21, 2019 The U.S. Department of Defense announced on Tuesday that Boeing, one of the world’s largest aerospace contractors...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali ya Uoga na kulia lia Nchi ya Iran imekuja Juu na kudai Israel isisogelee kabisa na wao kwani haikubaliki ni pale Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel aliposema kuwa Jeshi lake la Maji...
4 Reactions
82 Replies
9K Views
Pumzika kwa amani Bilionea Koch
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Yani na hela yote ya mpira aiseee!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Marekani imefanya jaribio hilo wiki kadhaa baada ya kujiondoa katika makubaliano muhimu na Urusi yaliyopiga marufuku silaha zenye uwezo kama huo za kinyuklia. Marekani ilijiondoa katika...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Wanaume wapo kazini Iran Unveils Domestic Long-Range Missile System: Bavar-373 7 hours ago August 22, 2019 Iran - Live News - Middle East - News - Top Iran on Thursday unveiled a...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Bunge la Uganda limepitisha sheria inayopinga hukumu ya adhabu ya kifo kwa baadhi ya uhalifu, na kufanya marekebisho katika sheria nne tofauti ikiwemo sheria ya kupambana na ugaidi. Kama sheria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Korea kusini imeamua kusitisha makubaliano ya kubadilishana taarifa za kijasusi na Japan ambayo yalianzishwa ili kubadilishana taarifa juu ya shughuli za nyuklia na makombora za Korea kaskazini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazalendo huko India wachachamaa; sasa wahamasishana kununua ardhi kwa wingi huko Kashmir na kuwaoa wanawake wa ki-Kashmir kwa wingi sana! Serikali ya Modi imefanya jambo jema kukataa vinchi ndani...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Naona Maduro kaamua kujisalimisha
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mgogoro kati ya Uingereza na Urusi uliotokana na jaribio la kuuwawa kwa kachero wa Kisuri, Sergei Skripal na binti yake Yulia, ambapo Uingereza iliituhumu Urusi kuhusika na jaribio hilo...
17 Reactions
164 Replies
25K Views
To what extent do bankers possess power over governments? Is the world controlled by the often elected officials who are said to control it, or do businessmen, especially bankers, rule the world...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hatimaye Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano ya amani na kumaliza tofauti zao. Idhaa ya Kiswahili ya DW iliripoti kuwa makubaliano hayo yalitiwa saini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali matokeo ya uchunguzi uliowasafisha maafisa wa serikali kwa tuhuma za rushwa kuhusu manunuzi ya zana za kijeshi zilizogharimu mabilioni ya fedha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Australia. Mahakama Kuu nchini Australia imetupa rufaa ya kupinga hukumu ya miaka sita kwa Kardinali wa Kanisa Katoliki, George Pell. Kardinali Pell alihukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
China imeionya Marekani kwamba haiogopi vita vya kibiashara, na kutishia kuziongezea bidhaa za Marekani ushuru unaofikia dola bilioni 3, katika kulipiza kisasi hatua za Rais Donald Trump dhidi ya...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pasipo na shaka miaka ya mwanzoni ya 1990s ulikuwa dhahiri kabisa afrika kusini utapata Uhuru wake, mwingereza alichofanya ni kuachia kilo na Nuru ya Jamii ya waafrika aliefungwa jela miaka 25...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama ya kijeshi nchini Cameroon imemuhukumu kifungo cha maisha jela, kiongozi wa vuguvugu la eneo linalozungumza kingereza, Julius Sisiku Ayuk Tabe, hukumu ambayo wadadisi wa mambo wanasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom