Habari wana jamii!
Poleni na mambo ya uchaguzi uliomalizika ktk taifa kubwa duniani, na hongereni kwa wale mlio pata matokeo mliyo yatarajia.
Katika mada ya leo ningepada kujikita ktk uongozi...
WAZIRI MKUU MPYA WA UINGEREZA ANATOKANA NA DAMU YA KIISLAMU
Enyi Waislamu kuweni makini na ndoa zenu na malezi yenu
Kiongozi wa Chama cha Muhafidhiina (Conservative) cha Uingereza bwana Borris...
Idara ya ujasusi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ANR) imetaka ukaguzi ufanyike kwenye wizara mbalimbali nchini humo. ANR imetaka ukaguzi huo ufanyike tangu mwezi Januari, mwezi ambao...
Israel: no country for black people
OPINION / 24 JANUARY 2018, 07:56AM / AZAD ESSA
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's ultimatum for African refugees to leave Israel has been described as...
Viongozi wa kijeshi nchini Sudani na muungano wa makundi ya upinzani wameunda rasmi baraza huru litakaloiongoza nchi hiyo kurudi kwenye utawala wa kiraia.
Baraza hilo litaiongoza Sudani katika...
Maandamano makubwa yamefanyika jijini Kinshasa mbele ya Ofisi ya rais wa nchi hiyo, Felix Etienne Tshisekedi kumshinikiza atimize ahadi yake ya kampeni ya kuimairisha usalama mashariki mwa Jamhuri...
BONDE LA OLDUVAI: FAKHARI AU FEDHEHA KWA TANZANIA?
Karibuni tumeshuhudia sherehe ya kifakhari katika Bonde la Olduvai (Oldupai), Ngorongoro kuadhimisha miaka 60 tangu ugunduzi wa fuvu la sokwe...
Hebu cheki debates za wenzetu jinsi watu wanavyopanga hoja
Pale unapofikiri huyu keshamalizwa anakuja na counter arguments za kukuacha mdomo wazi
Kabla hujampa ushindi, mwingine anapiga rebuttal...
Maelfu ya Watu katika eneo la Papua Magharibi jana wamechoma moto jengo la Bunge wakiwa wanaandamana kupinga kile wanachodai ni kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wanafunzi
Waandamanaji hao waliokuwa...
Hours after Elton John slammed negative reports about Meghan, the Duchess of Sussex, other stars like Pink and Ellen DeGeneres are doing the same.
"I’m happy to see people coming to the defense of...
Wananchi wa Hong Kong waandamana licha ya mvua kali
Umati wahudhuria maandamano HongKong licha ya mvua kali.
Maelfu ya wakazi wa Hong Kong wamemiminika katika bustani ya Victoria, bila ya...
Makamu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe ametangazwa na mamlaka nchini humo kama Mhalifu aliyekimbia.
Gazeti linalomilikiwa na serikali la Herald limesema kwamba Phelekezela Mphoko amekimbia...
Gari la Mafuta lalipuka nchini Uganda na kuua Watu 18
Siku chache baada ya gari la mafuta kulipuka na kuua zaidi ya watu 80 huko mkoani Morogoro nchini Tanzania, huko nchini Uganda, watu 18...
Afisa wa uchunguzi ameiambia mahakama nchini Sudan kwamba rais wa zamani Omar al-Bashir amekiri kupokea mamilioni ya dola kutoka Saudi Arabia.
Bashir alifika mbele ya mahakama leo Jumatatu...
The United Nations Human Rights Council President, Ambassador CHOI Kyonglim has appointed a Commission to inquire the deadly Burundi crisis, identify perpetrators and make them account for their...
AU Chairperson Mrs. Zuma has just spoken out on the ongoing situation in Malawi, she urges Malawians and African in general to calm down as Malawi electoral commission finalise compiaion of just...
Eneo lote la Uwanja wa ndege, Hospitali,majengo muhimu yote ya Serikali na barabara zote muhimu pia kote huko jeshi la China Bara limeshazingira.
Undercover wengi pia kama robo nzima ya...
Umesema mazingira hayo yanawapa moyo wa kuanzisha mradi wao unaokuwa ndani ya bahari masafa ya mita 100, umbali wa ardhi unaoambatana na mita 10 chini ya bahari.
Mwakilishi wa kampuni hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.