Wanajeshi wauwawa katika shambulio la Al-Shabaab kwenye kambi ya jeshi nchini Somalia
Kiasi watu 10 wameuwawa kwenye mapigano kufuatia shambulizi la kundi la kigaidi la Alshabab ndani ya kambi...
https://www.rt.com/business/466133-huawei-launches-own-os/
Nadhani inabidi ifike mahali binadamu tuheshimiane.
Katika hali ya kupambana kibiashara na Us ..China kaanza kumjibu Us kimya kimya...
Makombora yaliyorushwa na waasi wa Kihouthi katika mji wa Aden ulio kusini mwa Yemen pamoja na mashambulizi kadhaa ya kujitoa muhanga yameuwa zaidi ya watu 60 hivi leo na kuwajeruhi wengine...
Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump
Jul 26, 2019 07:12 UTC
Gazeti la National Interest linalochapishwa nchini Marekani limelielezea Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau akutwa na hatia Ikiwa inasalia miezi miwili tu hadi uchaguzi wa bunge nchini Canada.
Kamati ya bunge la nchi hiyo inayoshughulikia maadili imemkuta na hatia...
Mtu mmoja amekamatwa alipojaribu kuwachoma kisu wapita njia
Polisi nchini Australia inasema bibi mmoja amechomwa kisu na mtu aliyejaribu kuwachoma wapita njia wengi zaidi katika eneo la kati la...
Sio rahisi kumuona emperor of Japan Trump alikutana nae ,huko UK maandalizi ya Mr Trump hiyo schedule ukioona sio ya kawaida.Kweli Trump ni jeshi la mtu mmoja
Polisi nchini Zambia wamewakamata na kuwashikilia watu 30 waliokuwa wakiandamana katika mitaa ya Mji wa Chamboli
Wananachi wenye hasira kali walianza kufanya ghasia baada ya Askari wa Polisi...
China Dump Nuclear Waste In Sudan Desert
This is absolutely Tragic. It looks like China may "allegedly" dumped Nuclear Waste in the Sudan Desert. And the sad thing is more and more stories are...
Korea Kaskazini Yaonya Dhidi ya Kupelekwa kwa Makombora Mapya Nchini Korea Kusini
Korea Kaskazini imesema leo kuwa jaribio lolote la Marekani la kupeleka mifumo ya makombora ya masafa ya kati...
Serikali ya Marekani inaunga mkono fikra ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano.
Mshauri wa masuala ya usalama wa rais Donald Trump wa Marekani amesema alipokuwa ziarani...
Article 370 ya Katiba ya India iliipa Jammu and Kashmir hadhi fulani ya kujitawala (autonomy) kama ilivyo Zanzibar kwa Tanzania. Ili kumaliza chokochoko za kila mara huko Kashmir, imetoka...
Mazyar Ebrahimi: Iran ilinitesa na kunilazimisha kukiri kuwa Jasusi wa Israel
Mazyar Ebrahimi anasema aliteswa kwa siku 40 mfululizo usiku na mchana.
Aliyekuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio...
Mahakama ya Moscow yafuta Uamuzi wa Kamisheni ya Uchaguzi
Sergei Mitrokhin
Mahakama moja katika mji mkuu wa Urusi, Moscow imefuta uamuzi wa kamisheni ya uchaguzi wa kumzuia mgombea wa...
Wakati huo huo Chama cha ANC chenye viti vingi bungeni kimeamua kumfukuza Meya wa mji wa Durban, Zandile Gumede.
Hivi sasa yuko chini ya uchunguzi wa utakatishaji fedha na rushwa katika kesi ya...
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.