International Forum

News and Stories from rest of the World
Umoja wa Afrika umemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump kuomba radhi baada ya kutoa kauli inayolikashifu bara la Afrika. Taarifa hiyo ya AU imesema kuwa kauli hiyo ya Trump ni udhalilishaji dhidi...
3 Reactions
238 Replies
21K Views
Wamarekani wengi wanaamini kwamba, Donald Trump ni mbaguzi wa rangi Aug 05, 2019 08:17 UTC Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa, zaidi ya nusu ya wananchi wa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
"Kanda mpya za sauti zilizopatikana katika maktaba ya kumbukumbu ya rais wa zamani Richard Nixon zimefichua mazungumzo ambapo rais mwingine wa zamani Ronald Reagan aliwaita waafrika “nyani” katika...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
A man armed with a rifle opened fire at a Walmart store in El Paso, Texas, on Saturday, killing 20 people and wounding 26 others as panicked shoppers and employees scurried for cover before the...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Independent: Wanawake wamepuuzwa katika mfumo mpya wa utawala Sudan Aug 05, 2019 12:12 UTC Wanawake wa Sudan walikuwa nembo ya maandamano dhidi ya al Bashir  Gazeti la Independent linalochapishwa...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Taarifa kutoka katika mamlaka za Brazil zinaeleza kuwa wafungwa hao wameuawa katika ghasia hizo zilizozuka katika gereza la Altamira Wafungwa hao waliwasha moto katika maeneo ya kuingilia...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
New Zealand. Wakati Tanzania utoaji wa mimba ni kosa la jinai, New Zealand inatarajiwa kufanya mabadiliko mapya ya sheria yatakayoruhusu kitendo hicho. Mswada huo uliwasilishwa bungeni leo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Iran imeikamata meli nyengine ya mafuta katika Ghuba, kulingana na vyombo vya habari vya Iran . Kamanda wa Jeshi la Iran la Revolutionary Guard alinukuliwa akisema kuwa wanamaji wa taifa hilo...
2 Reactions
3 Replies
955 Views
Only hours after a shooter opened fire in El Paso, Texas, a second shooting is being reported in the United States. First reports indicate that a live shooter opened fire in a bar located in...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Russia will be forced to take retaliatory measures due to Finland and Sweden’s cooperation with NATO, the head of the Russian Ministry of Defense Sergey Shoygu announced at the board of the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Trump atishia kuwaachilia magaidi wa Daesh warejee katika nchi za Ulaya Aug 02, 2019 11:57 UTC Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kubuni na kueneza shughuli za makundi ya kigaidi likiweo la...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuelekea maandalizi ya mkutano wa Jumuiya ya umoja wa nchi za kusini mwa Afrika SADC Utakaoanza mwezi huu, Marekani imemuwekea vikwazo Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania bwana Anselem Sanyatwe kwa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ameionya Uturuki isiziweke kwa mkao wa matumizi silaha aina ya S400 ilizonunua kutoka Urusi, maalumu kwa kutungua kitu chochote kinachopita angani...
2 Reactions
75 Replies
7K Views
Mfalme wa Jordan akataa kukutana na Netanyahu na hata kuzungumza naye kwa simu Aug 04, 2019 08:12 UTC Mfalme Abdallah II wa Jordan amekataa ombi la Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Takribani watu 11 wamefariki na wengine 3 hawajulikani walipo baada ya boti 3 kuzama kutokana na dhoruba baharini. Watu 63 wameokolewa kutoka baharini baada ya mawimbi makubwa kupindua boti hizo...
1 Reactions
3 Replies
959 Views
Rais theodora obiang atimizi miaka 40 madarakani.Aliingia madarakani mwaka 1979 kwa kumpindua mjomba wake na kisha alimnyonga.Anasifika kwa ukatili na ufisadi mkubwa kwani amejilimbikizia mali za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Two South Africans killed in Tanzania plane crash A screen grab of a map showing Tanzania and surrounding neighbours. A light plane crashed in western Tanzania on July 3, 2019, killing two South...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Back
Top Bottom