Ndugu zangu waislamu na wasiokuwa waislamu, naomba mufungue hiyo YOUTUBE ni ya hivi karibuni, muone hao waisrael jinsi gani walivyo makatili dhidi ya waislamu, wamerusha mabomu ya machozi/Tea gas...
Huyu mzee nahisi ana matatizo ya kiakili au hata kisaikolojoa maana kila dk na sekunde neno "Iran" halitoki mdomoni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alianza mbwembwe miaka ile ya...
Opposition members keep going 'missing' in Rwanda. Few expect them to return
(CNN) — When Eugene Ndereyimana woke up last week, he didn't tell his wife where he was going, and she didn't ask. The...
July 22, 2019 Topic: Security Blog Brand:
The Buzz Tags: Iran Military Technology WorldF-35 Stealth And someone was fired for it.
By Dario Leone
As we have already explained, in May 2018 the...
Tumekuwa tukiona wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wamekuwa wakitumia njia hatarishi sana wengi wanapoteza maisha..Kuna haja Umoja wa Afrika na Umoja wa mataifa kuingilia kati kukomesha...
Chaos and Corruption Never Seen in the History of Iraq
On Sunday, February 3, 2019, MP Ahmed al-Jubouri presented a document showing the disbursement of an estimated amount of more than 408...
Baba mmoja Raia wa nchi ya Nigeria aliyejulikana kwa jina la Nnamdi (35), amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanaye wa kike mwenye mwezi mmoja.
Taarifa hizo zimetolewa na mamlaka ya...
Takribani nyumna 21 zilizikwa na vifusi vya udongo ulioporomoka kutoka katika milima ya jirani
Mpaka sasa vikosi vya wabobezi wa ukoaji wa watu katika majanga vimefanikiwa kuwaokoa watu 40...
Kauli ya Pompeo, asema atafanya safari nchini Iran
Jul 26, 2019 12:54 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kwamba atafanya safari mjini Tehran ili kuifikishia Iran ujumbe wa...
Mzazi mmoja nchini India amekamatwa na polisi kwa kosa la kumkata mwanaye wa kiume sehemu za siri kwa imani ya kuondoa mikosi kwenye familia yake.
Mtuhumiwa wa mauaji, Ram Gopal Patel katikati...
Israeli missiles targeted “military positions and intelligence facilities belonging to Iran and [pro-Iranian] militias” in the southern provinces of Daraa and Quneitra early on Wednesday...
Matetemeko hayo yametokea mapema leo katika kisiwa cha Luzon ambapo takribani watu 60 wamejeruhiwa huku majengo yakiharibiwa vibaya
Zaidi ya watu 1,000 wakazi wa kisiwa cha Itbayat wameshauriwa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Nipo tayari kufanya mazungumzo na Iran
Jul 25, 2019 10:59 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa yupo tayari kufanya mazungumzo na Iran...
Happy 172nd Independence to all Liberians. May this Independence renew our vigor towards Nation building & shared prosperity for all. May Unity be our footpath & Peace our emblem. As we look to...
Serikali ya Marekani imeidhinisha adhabu ya kifo ianze tena kutekelezwa baada ya adhabu hiyo kusitishwa miaka 16 iliyopita, yasema Idara ya Mahakama.
Katika taarifa mwanasheria mkuu William Barr...
Marekani yatuma wanajeshi 500 na silaha nzito za kivita nchini Saudi Arabia, Muda wowote Iran inashambuliwa
Marekani imetuma wanajeshi wapatao 500 na silaha nzito za kivita kwenda nchini Saudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.