Nimekuwa nikisoma na kusikia kivipi mataifa makubwa kiuchumi Kama China(under Mao the don), uingereza( mapinduzi ya viwanda) yalivoweza kutoka from zero to hero kwa kuonesha struggle walizozipitia...
Kwa mda mfupi ambao trump amekaa madarakani na kwa utendaji bora amefuta kabisa legacy ya Obama.
Obama hana cha kukumbukwa zaidi ya kuhamasisha ushoga duniani.je Obama anakumbukwa kwa lipi...
Wanafunzi watatu wa shule ya upili ya wasichana ya Makueni wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Makueni kwa jaribio la kumuua mwenzao kwa kumwekea sumu kwenye chakula
Watatu hao walio na umri...
Katika hali isiyoyakutegemewa ndge za washirika wa Marekani hasa Islael zimejikuta zikiwa aziwezi kufanya kazi baada yamfumo wake kushindwa kufanya kazi (GPS) kutokana na mifumo ya kirusi iliyopo...
Waheshimiwa.
Marekani ilijitangazia uhuru wake hapo Philadelphia, Pennsylvania, mwezi July 4, 1776. Uhuru huu ulitokana na vita vya makoloni kumi na tatu ambavyo vilikuwa dhidi ya Ufalme wa...
At least 150 people have drowned after their boat sank off the Libyan coast Thursday, the UN Refugee Agency (UNHCR) confirmed.
Around 300 people are believed to have embarked on the dangerous sea...
Urusi inasema kuwa imetekeleza doria yake ya kwanza ya
pamoja na China , hatua iliyozifanya Korea Kusini na
Japan kutuma ndege za kivita angani.
Waziri wa ulinzi nchini Urusi amesema kuwa ndege...
Ukraine seizes Russian Tanker, frees Crew after Moscow Threat
Ukraine on Thursday (Today) seized a Russian tanker for its alleged involvement in the capture of three Ukrainian navy vessels by...
Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Tunisia Bejji Caid Essebsi amefariki na nafasi yake imechukuliwa na Spika wa Bunge la Tunisia Mohammed Ennaceur kama Rais wa mpito (interim president).
...
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 10:58 UTC
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda...
Waziri Mkuu akiwa kiongozi wa serikali inayoongozwa na Malkia ambae ni Mkuu wa Kanisa la Anglicana. Hii ina maana kuwa Uingereza ni nchi yenye misimamo ya Ukristo.
Boris Johnson Waziri Mkuu mpya...
Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan
Jul 24, 2019 07:18 UTC
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran amelaani matamshi ya kibaguzi na kifudhuli...
Wanabodi,,,,
.
.
Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha...
Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa Rais Beji Caid Essebsi amefariki dunia katika Hospitali ya Jeshi akiwa na umri wa miaka 92
Hata hivyo mpaka sasa haijawekwa wazi Rais Essebsi alikuwa...
KUANGAZIA MGOGORO NDANI YA CCM NCHINI TANZANIA
Baada ya Bernard Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali iliyopita na kinara wa mstari wa mbele katika kinyan’ganyiro cha uraisi kupitia...
Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran
Jul 23, 2019 04:38 UTC
Rais Donald Trump wa Marekani ambaye baada ya nchi yake kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA alitaka kufanyika...
Serikali ya Nigeria imeingia makubaliano hayo ili kuhakikisha nchi hiyo inapata umeme wa uhakika ifikapo mwaka 2025
Mtendaji Mkuu wa Siemens,Joe Kaeser amemuahidi Rais Buhari kuwa miundombinu...
Mohajer-4: Iranian drone which filmed USS Boxer
Home / Iran
/ Defence
File photo showing the Iranian Mohajer-4 drone. (Photo by Tasnim)
Surveillance images released by the Iran’s Islamic...
Kwa kweli napenda sana huyu njemba Boris Johnson kushika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwani misimamo yake ni thabiti tangu akiwa Mayor na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza...naamini wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.