vita baridi vilihamia mwezini Miaka ya 1950 ambapa Urusi na marekani walikua wanashindania kufika mwezini. marekani walionesha live kukanyaga ardhi ya mwezini mwaka 1969. Weak leaks wamedukua...
Yupo very emotional, Logic sifuri, Hana ajenda zenye facts.
Congress woman asie jua sheria wala civics, anadiriki kutetea maharamia na hata kutojua branches of government,
Anafanya Chama cha...
Kweli Siasa mchezo mchafu. Jamaa alimuundia zengwe Zuma mpaka sasa yupo kortini,sasa zamu yake imefika. Hii battle ya ANC itakuwa kama ya CCM hivi sasa.
Sent from my TA-1024 using JamiiForums...
Watu nane wakiwemo askari polisi wanne wamefariki asubuhi ya leo katika mashambulio mawili mjini Dera Ismail Khan
Shambulio la kwanza limetokea katika kituo cha polisi ambapo askari wawili...
Ujerumani na Ufaransa zimelaani hatua ya Iran kuikamata meli yenye bendera ya Uingerea katika mlango wa bahari wa Hormuz na zimeitaka nchi hiyo kuiachia huru meli hiyo mara moja.
Wizara ya mambo...
Arab Coalition targets Six Houthi Air Defense, Ballistic Missile Sites in Sanaa
Cars are parked outside the Abha airport in the southern Saudi Arabian popular mountain resort of the same name...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
Hawa jamaa Amerika pamoja na Europe hawana kabisa uwezo wa kumchapa iran hata kwa dawa
Tumeona juzi ndege ya america ikifanywa majivu hakuna lolote lililotokea...
Lockheed awarded $1.5 Billion Saudi Arabia THAAD Missile Defense System Contract
Terminal High Altitude Area Defense (THAAD). Image: US Missile Defense Agency
Lockheed Martin was awarded an...
Watu wengi tunajua kua Marekani aliiwekea vikwazo kampuni ya kutengeneza simu ya kutoka Uchina ya Huawei baada ya kuituhumu kuhatatisha usalama wa Marekani.
Baada ya mwezi 1 hivi au miwili rais...
Wadau natafuta vipuli vya gari yangu old model rav4 twin cam 3s, G.e, ela ipo lakin tatizo ni kujua naipata wapi iyo spea, tatizo la gari langu ni kutopitisha vizuri moto, ivyo shida kubwa ni...
The House of Representatives has adopted the 2020 military spending bill, but with an amendment that blocks war on Iran without congressional approval – backed by President Donald Trump’s...
Unyanyasaji wa Kijinsia Tanzania: Mzizi Wake Ubepari
on June 26, 2019
Habari:
Imeripotiwa katika mkoa wa Kigoma, Magharibi mwa Tanzania kumezuka wimbi la wanawake hususan wanaoishi bila wanaume...
Hali ya wasiwasi katika eneo la Ghuba imezidi kuongezeka, baada ya rais Donald Trump wa Marekani kusema wameiharibu ndege isiyo na rubani ya Iran katika lango la bahari la Hormuz
Hata hivyo Iran...
Jamii ya wahajiri wa Ethiopia wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, imeisababishia changamoto mpya serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu...
Taasisi ya kupambana na rushwa nchini Afrika Kusini imesema rais Cyril Ramaphosa alilidanganya bunge kwa kukusudia kuhusu mchango wa kampeni.
Madai haya yanaonekana kuwa kizingiti kipya kwa rais...
Zaidi ya Wamarekani 400,000 wametia saini azimio la kuvamia kambi maarufu ya Jeshi la Anga la nchi hiyo, Area 51. Wanaamini katika kambi hiyo kunafichwa viumbe toka sayari nyingine. Wanalenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.