Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga...
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi...
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike
Hii imejiri baada ya Rais wa...
Hawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.
Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja...
https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948
Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola.
Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea...
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini...
Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa...
Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa.
Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya...
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa...
Source: VOA Radio.
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka...
Wakati upelelezi ukiwa bado unaendelea na shutuma za nani kasababisha ajali ya kugongana kwa chopa ya jeshi na ndege ya kiraia Marekani zikiendelea kurushwa na wadau mbalimbali, nimekutana na...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa...
Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya...
habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama...
Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu.
Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo.
Inadaiwa mlengwa sio...
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Haya yanajili baada ya picha za satellite...
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo
Wadau...
Wanaukumbi.
ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.
Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.