International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na...
13 Reactions
112 Replies
6K Views
Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na...
8 Reactions
85 Replies
11K Views
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi...
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
27 Reactions
288 Replies
13K Views
Nimeleta uzi huu kuhusisha pande zote mbili za me&ke katika kila pande ichangie uzi huu ni kwanini dada zetu.Ni wachache utawaskia wakidai kinga pindi wanapokutana na wapenzi zao.Nimeliona hili...
1 Reactions
11 Replies
962 Views
List of KIA/WIA/MIA Russian Officers Killed list: Lieutenant General Yakov Vladimirovich Rezantsev, Commander, 49th Combined Arms Army, Southern Military District (killed Mar 24) Lieutenant...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo...
15 Reactions
176 Replies
11K Views
Russia yasimasmisha mashambulizi Mariupol kiwanda cha chuma kilichoko Ukraine Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma Kiwanda hicho kinamilikiwa kwa asilimia kubwa na viongozi...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
There is a lot of talk katika mji wa Mirerani kuhusu uchimbaji na biashara ya madini ya Tanzanite sasa kudhibitiwa na Rwanda, na ukikaa kwenye sehemu za starehe utasikia kila kitu, hata usiyopenda...
4 Reactions
78 Replies
11K Views
MTANZANIA JOHN NDUNGURU, anayemiliki kampuni ya Mercy Services of Heath inayojishughulisha na kazi ya kuhudumia wagonjwa majumbani (Home Health Care) nchini Marekani, ametiwa mbaroni nchini humo...
5 Reactions
84 Replies
13K Views
Yule Rais wa rockets na katili duniani yupo ICU kwenye coma madaraka yote amesha kabidhi Kwa Dada. Kweli ma beberu watu wabaya. Taarifa the Mirror ==== Kim Jong-un is reported to be in a coma...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Hali ni mbaya! Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz. Ikumbukwe leo ni...
12 Reactions
105 Replies
10K Views
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni...
17 Reactions
210 Replies
22K Views
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
7 Reactions
97 Replies
7K Views
Waafrika tukae mkao wa kusubiri, akili kubwa wazungu wameanza kupiga hatua na hivi karibuni hiki kitu kitaiaga dunia. Tiba inayotumia plasma ya damu (kiswahihili chake??) ya waliopona imeanza...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Inadaiwa Rais wa Nigeria Buhari naye kanasa. Yupo Cuba anatibiwa kisiri. Chief of staff wake Abba Kyari alitoka nao Germany na akatest positive lakini ndugu Buhari alipimwa akakitwa hana. Tetesi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom