Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.
Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta...
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa...
Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed.
The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in...
Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh, ambaye alitawala nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kwa mihula miwili na kuikomboa uchumi wake katika kipindi cha awali kama waziri wa fedha, amefariki...
Hayati Alex Salmond alikuwa Waziri Mkuu wa Scotland na aliongoza kura ya maoni ya kutaka Scotland Ijitenge, kisha akawa muongoza mada kati Televisheni ya Urusi Leo / Russia Today(RT) hadi February...
NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema:
"Kwa huzuni...
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mbaya ya kuhuzunisha kutokea Kigali Rwanda
Pitia taarifa kamili hapo chini;-
Last independent journalist in Rwanda, Ntwali John Williams has been eliminated. On...
Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa...
Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa.
Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake...
Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74.
Watu wengine watatu waliokuwa...
Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic.
Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia...
Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek.
Taarifa ya Makamu wa Rais wa...
Henry Kissinger, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani ambaye alikimbia Ujerumani ya Kinazi akiwa kijana na baadaye kuwa mmojawapo wa watu wenye ushawishi...
President's brother passes away: Sheikh Mohammed bin Rashid, prominent Emiratis mourn death of Sheikh Saeed
The Arabic hashtag for 'Saeed bin Zayed' and other related keywords were on the trending...
Martti Ahtisaari
Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya...
Chifu Mangosuthu Buthelezi, Muanzilishi na kiongozi wa muda mrefu wa chama cha Inkatha Freedom Party(IFP) amefariki dunia Jumamosi ya leo, Septemba 09, 2023.
Buthelezi alianzisha IFP na baadae...
RIP Kevin Mitnick Mdukuzi aliyegeuzwa kuwa mshauri wa usalama #KevinMitnick amefariki saa 17 zilizopita akiwa na umri wa miaka 59.
Alikuwa na saratani ya kongosho. Kifo cha Mitnick...
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto.
======
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86...
Waziri Mkuu wa zamani wa Italy na Tajiri namba mbili nchini humo ndugu Silvio Berlusconi amefariki dunia leo hii 12/06/2023
Berlusconi ambaye alikuwa ni mmiliki wa vyombo vya habari na timu ya AC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.