International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Taarifa kutoka kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa zinaeleza kwamba Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia na Mmiliki wa Timu ya soka ya AC MILAN Silvio Berluscon amefariki Dunia Jijini Milan Chanzo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwana siasa na Meya wa zamani wa jiji la Cincinnati, Ohio Gerald Norman Springer aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Jerry Springer, amefariki dunia. Jerry Springer ni mwenyeji wa...
1 Reactions
6 Replies
769 Views
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Pope Benedict XVI has passed away at age 95. He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate. In recent years, he lived in a small monastery...
9 Reactions
170 Replies
10K Views
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu...
2 Reactions
123 Replies
13K Views
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo. Imeelezwa kuwa...
18 Reactions
502 Replies
37K Views
Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79 Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Sheikh Khalifa Mfalme na Rais wa falme za kiarabu amefariki dunia Leo. . Innallillahi Wainaillah Rajiuun . Baba yake ni Zayeed bin sultan al nahyan === Rais wa Umoja...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo. Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Picha: Madeleine Albright Madeleine Albright aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje wa kwanza mwanamke wa Marekani kuanzia mwaka 1997 mpaka 2001, chini ya utawala wa rais Bill Clinton amefariki dunia...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako. Chanzo cha kifo chake...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na...
10 Reactions
120 Replies
9K Views
BREAKING: Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home. Cause of death is unknown May God bless her soul[emoji257] === MIDWOOD, Brooklyn (WABC) -- Malikah...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom