Urusi yalipa kisasi kwa marekani yamtunia trump kuivuruga,mpango wa kumsaidia kuingia madarakani ulisukwa kwa ustadi mkubwa.
Baada tu ya kuingia madarakani akaiondoa nchi yake kwenye makubaliano...
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameliambia jopo la mahakama linalochunguza madai ya rushwa dhidi yake kuwa ''kuna njama'' inayolenga kumuangamiza kisiasa.
Alikuwa anafika mbele ya jopo...
Kiongozi wa kikundi cha vijana cha chama tawala cha CNDD-FDD, Eric Nshimirimana ateuliwa kuwa kiongozi wa Shirika la habari la Burundi liitwalo Radio Tèlèvision Nationale du Burundi(RTNB)
Uteuzi...
RAIA 19 wa Nchi ya Burundi wamefungua kesi katika mahakama ya Afrika mashariki dhidi ya serikali yao kupinga vitendo vya unyanyasaji wa haki za binadamu unaoendelea Nchini humo.
Wakizungumza na...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin Ameilaum serikali ya Marekani kutaka kuidhoofisha china kiuchumi kwa kuiwekea vikwazo visivyo na msingi.
Putin pia amezungumzia kampuni ya Huawei, ameilaumu...
Ukuaji wa uchumi wa china umesinyaa kwa kiwango kinalingana na ukuaji huo miaka takriban 27 iliyopita.
Vita ya kiuchumi kati yake na Marekani ndio yakulaumiwa zaidi...
Iran imezindua mfumo wa kujilinda kwa makombora uliotengenezwa kikamilifu hapa nchini unaoweza kulenga shabaha sita za adui kwa wakati mmoja.
Mfumo huo wa makombora uliopewa jina la Khordad 15...
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei.
Google wamesema simu zote za Huawei za...
A private radio station in Afghanistan has shut down after numerous threats from a suspected Taliban commander who objected to women working as presenters, officials at the radio station said on...
Kitendo cha Uturuki kuamua kuanza kupokea makombora ya s-400 ya Urusi, kimemfanya Marekani akiri hadharani hofu yake kuwa silaha za Urusi zikiwa karibu na zile ndege zake za F-35 ambazo Uturuki...
Uturuki imeanza kupokea silaha kutoka Urusi aina ya S400,silaha hii ilipingwa sana na Marekani kwa Uturuki kuinunua kutoka Urusi.Uturuki ni mwanachama wa NATO, na ana makubaliano ya kununua ndege...
Power has now been restored to all customers after a power failure in New York halted subway trains and trapped people in lifts on Saturday evening.
Energy company Con Edison said more than 70,000...
Israel imeshambulia kambi za jeshi la Iran na maeneo mengine ya kijeshi nchini Syria
Jeshi la Israel (IDF) halijatoa maelezo yoyote kuhusiana na shambulio hilo...
Hakika nimeamini kuwa vijana ni uti wa mgongo wa Nchi, Hong Kong imekuwa na mvutano na vijana pamoja na wanafunzi wa nchi ambao kwa muda zaidi ya mwezi mmoja wamekuwa wakiandamana kupinga...
Mambo?
Labda kutokana na internal force or external force ukaamua,ee isiwe shidaaa.....ukaamua kuoa au kuolewa.Vigelegele vimeisha tu,ghafla bin vuu...macho hayaambiwi ona,maisha...
Baiq Nuril Maknun(41) amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela na faini ya rupia milioni 500(Tshs. 82,257,200.00) kwa kusambaa kwa sauti vyenye viashiria vya ngono alivyomrekodi bosi wake
Mwanamke...
Makampuni tajwa hapo juu yameanza kuomba poo kutokana na zuio la us kwa huawei kuaanza kuleta madhara.
Reuters wameripoti kuwa Qualcom, Intel na Xinxilx wameiomba serikali ya trump kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.