Serikali ya Ethiopia ambayo ndio wamiliki wa kampuni kubwa ya mawasiliano ya Etho-Telecom imezima mtandao wa Internet katika maeneo yote ya nchi hiyo. Sababu iliyotolewa ni kuepusha uvujaji wa...
Huduma hiyo imerejeshwa leo baada ya mtandao kuzimwa kwa muda wa wiki moja. Shirika la Mawasiliano la Ethio Telecom limeahidi kuwafidia wateja wake
Kwa muda wote Wananchi hawakuwa na uwezo wa...
A light aircraft has crashed in Hawaii, killing at least nine people on board, officials say.
The twin-engine aircraft went down close to Dillingham Airfield near Mokuleia in Honolulu County...
Wizara ya fedha ya India imetoa taarifa kuwa serikali yake imeamua kuongeza ushuru kwa bidhaa 28 zinazoagizwa kutoka Marekani zikiwemo lozi, maharagwe na walnut kuanzia tarehe 16 mwezi huu.
Mwezi...
Ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na rubani (Drone) aina ya MQ-4C iliyodunguliwa na Makombora ya Iran, ndio ndege kubwa na ya kisasa kabisa kuliko ndege zote zisizo na rubani za Marekani, Ndege...
Kwa kile kinachoweza kuonekana kuwa ni Hofu na kuweweseka, Raisi Donald Trump Jana ameidhinisha Shambulizi dhidi ya Iran baada ya Ndege yake ya kijasusi ya MQ4-C Kudunguliwa na Makombora ya Anga...
Mashirika kadhaa ya ndege yamefutilia mbali safari zao au kuepuka anga la Iran baada ya ndege ya ujasusi ya Marekani isiokuwa na rubani kudunguliwa na majeshi ya ulinzi ya nchi hiyo.
Iran...
Kampuni ya Apple inafikiria kuhamisha 30% ya uazalishaji wake wa simu za Iphone gukoka china kwenda nchi nyingine za Asia Pacific.
Sababu kuu ni mgogoro wa kiuchumi kati ya Marekani na China...
Televisheni ya Iran imeonesha picha ya kile inachosema ni mabaki ya ndege ya Marekani isokuwa na rubani.
RaisTrump amesema kuwa hataki vita lakini akaionya Iran kuwa itakabiliwa na makosa ya...
Habari ya muda huu wanajanvi.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, ungana nami katika habari hii inayo husu uwezo wa ndege vita aina ya MiG 25 ya muungano wa Usoviet miaka ya 1970's...
Mwanaume mmoja wa Argentina ameamriwa na Mahakama amlipe Mke wake wa zamani ajulikanaye kama ML mwenye miaka 70 Dola sawa na Tsh. Milioni 415 kwa sababu Mke wake wa zamani huyo aliacha taaluma...
Oparesheni kubwa ya uokoaji inaendelea nchini Japan kuwatafuta wanajeshi watatu wa Marekani bbada ya ndege mbili zilizokuwa na wanajeshi saba kugongana na kuanguka baharini.
Wanajeshi wawili...
Katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, matumizi ya pikipiki yamepigwa marufuku kutokana na kuongezeka kwa matukio ya jinai na wizi.
Mkurugenzi mkuu msaidizi wa mji wa Addis Ababa, Takele Uma...
Wananchi wa Malawi leo wamefanya maandamano makubwa mjini Mzuzu wakipinga ushindi wa Mutharika.
Wanyasa hao wa Malawi wamedai hawataacha kuandamana hadi Mutharika atakapoachia madaraka. Polisi...
Msemaji wa kundi la waasi wa Rwanda major Callixte Sankara aliedai vikosi vyake kuteka baadhi ya maeneo ya Rwanda hivi karibuni amekamatwa.
Sankara ambae amekua maarufu kwenye social media...
Katika lile wimbi linaloonyesha ukweli wa mesemo wa kizungu "better the devil you know than one you don't know", nchi za kiarabu zilizopitia mapinduzi ya kijani zimezidi kujutia maamuzi yao ya...
Egyptian Ex-President Morsi Was ‘killed’, Says Turkey's President, Erdogan
Recep Tayyip Erdogan, Turkey's President has stated that embattled Egyptian ex-President Mohamed Morsi who slumped in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.