Wazee wa demokrasia dunia USA wamedondoka mpaka nafasi ya 48 kwa uhuru wa habari duniani. Hii ni nyuma ya nchi kama Botswana. Ni kwa mujibu wa Reporters without borders.
=====
US slides down...
At least 92 people have died in India’s Bihar as the state remains in the midst of a punishing heatwave that’s affecting much of the country, bringing with it droughts and hundreds of cases of...
SERIKALI YA MISRI YAKATAZA KUFANYIKA MAADHIMISHO YA MSIBA WA MORSI
Mtoto wa kiume wa Rais wa Misri aliyefariki mahakamani Muhammed Morsi amesema mamlaka nchini humo zilizuia kufanyika maadhimisho...
Katika kile kinachoonekana kuwa kamwe udugu haufi, rais wa China yupo North Korea kwa ziara ya siku mbili,yaani leo Alhamisi na kesho Ijumaa.
Wataalam wa mambo, wanasema kuwa hii ni ishara ya...
Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi, UNHCR limesema watu takriban milioni 70.8 wameyakimbia makazi yao duniani kote, kuepuka ghasia na unyanyasaji. Miongoni mwao milioni 41 ni...
Katika maenesho ya anga ya Paris, watengenezaji wa ndege toka Israel wamejinasibu wako mbioni kuishangaza dunia kwa kutengeneza ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 9 inayotumia umeme. Toleo la...
1. United States
The Federal Reserve holds the largest amount of gold of any other central bank, 8,133.5 tons. This is 75.2 percent of its foreign reserves. The Federal Reserve has not been as...
Rais wa zamani wa Egypt aliyefariki jana amezikwa asubuhi hii kimyakimya huku ulinzi ukiwa mkali sana. Rais Mohammed Morse aliitawala Misri kwa mwaka mmoja tu na jeshi kumpindua.
Source DW
Sudan's ruling military council has, for the first time, admitted it ordered the dispersal of a sit-in in capital Khartoum, which left scores dead, as diplomats from the United States and African...
https://www.ynetnews.com/articles/0,7340,L-5528992,00.html
Baada ya kukataa kua hakuna drone yoyote iliyoangushwa na majeshi ya Iran muda ni mwalimu mzuri Iran walitoa video ikioneshwa drone ikiwa...
Vikwazo vya Marekani vyaanza kuuma, Huawei imesitisha uzalishaji wa notepads zake na laptops zake .
Huawei reportedly postpones planned laptop launch...
UFARANSA: Nicolas Sarkozy anatarajiwa kufikishwa Mahakamani mwezi ujao baada ya rufaa yake ya utetezi kukwama. Anatuhumiwa kwa rushwa na kufanya biashara ya mali za wizi
Anatuhumiwa kwa kukubali...
Miezi michache iliyopita niliandika humu JF kuwa katika ndege zote za Kenya Airways, ndege tatu tu ndio za serikali nyingine zote ni za watu binafsi. Hata nilisema Tanzania inaizidi Kenya kwa kuwa...
1) Kuungana mkono Watawala wa Kifalme wa falme za kiarabu waliokuja kufadhili Mapinduzi ya Serikali yake.
2) Kukubali kuanzisha Ushirikiano na Amerika, Shetani aliyekuja kuvuruga Serikali yake...
Mwanamume mmoja kutoka Kapker, Marakwet Mashariki, katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet ambaye aliwaua kwa risasi watoto wake watatu na kuwajeruhiwa wengine watatu Jumatatu aliuawa Alhamisi jioni na...
China leo imeionya Marekani baada ya kutangaza kutuma wanajeshi 1,000 wa ziada katika eneo la Mashariki ya Kati huku mvutano na Iran ukiwa unazidi kuongezeka
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa...
Vyombo vya habari nchini Russia na Uingereza vimeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin amepata watoto mapacha na mchumbawake wa muda mrefu.
Magazeti maarufu ya The Daily Telegraph na Daily...
Rais wa Marekani, Donald Trump amezindua kampeni zake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020
Trump ameuthibitishia umma wa Wamarekani kuwa mwaka 2020 atagombea tena nafasi hiyo ya Urais licha...
SK Telecom to collaborate with Nokia and Ericsson in 6G research
> They will also work together to improve SK Telecom's 5G networks.
SK Telecom will collaborate with telecom equipment vendors...
Mmiliki wa meli ya Mafuta iliyolipuliwa huko ghuba ya Oman, amekana maelezo yaliyotolewa na maofisa wa Marekani waliodai kwamba meli hiyo iilshambuliwa na boti wanazoamini kuwa ni za Iran.
Mmiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.