International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari za jioni wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada.... Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza sana kwa muda mrefu hili swali je wayahudi halisi wamekwenda wapi na je hawa...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
US Cops Threatens To Shoot a Black Woman Because Her 4yr Old "Stole" A Barbie Video shows a cop threatening to shoot a Black mother dead because her 4-year-old toddler "stole" a 99 cent Barbie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Foxconn says it can meet Apple’s need to pull iPhone production out of China if necessary TAIPEI (Taiwan News) -- Hon Hai Precision Industry Co., more commonly referred to as Foxconn, said on...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Majaji wa Mahakama ya Juu nchini humo wamepiga kura iliyotoa uamuzi huo. Kura 8 kati ya 3 zimepitisha kuwa chuki dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuwa kosa la jinai Mtu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ameilaumu nchi ya Iran kwa kile alichosema mashambulizi dhidi ya meli za mafuta kwenye pwani ya nchi za Ghuba. Pompeo amesema nchi yake imefanya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Mexico, Andres Manuel Lopez ametangaza kupiga mnada ndege ya Rais na kwamba fedha zitakazopatikana zitatumika kusaidia jitihada za kudhibiti uhamiaji haramu. Hatua hiyo imekuja baada ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uingereza bwana Boris Johnson yuko kwenye mgogoro na chama chake cha Conservative kufuatia ujumbe wake kwenye gazeti kuhusu wanawake wavaa hijabu na...
5 Reactions
124 Replies
10K Views
Waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i amewatimua nchini humo wafanyabiashara saba wa Kichina waliopatikana na hatia ya kufanya biashara zao kinyume cha sheria katika soko la maarufu kwa mitumba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran Jun 13, 2019 11:20 UTC Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iran imesema kuwa imepuuzilia mbali madai ya Marekani kwamba ndio iliotekeleza shambulio dhidi ya meli mbili za mafuta katka Ghuba ya Oman. Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani Mike Pompeo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mchakato umeanza ndani ya chama cha Wahafidhina (Conservative) baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Theresa May kutangaza kujiuzulu Boris Johnson ameshinda duru ya kwanza kwa kupata kura 114 huku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa zaidi ya 129 wameuawa wakati jeshi likidhibiti maandamano dhidi ya Serikali, wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai watu 500 wameuawa Watu zaidi ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jimbo la Alabama nchini Marekani limepitisha muswada wa sheria inayowalazimu baadhi ya watu waliopatikana na hatia ya kuwabaka watoto, waondolewe nguvu za kiume kupitia njia ya kemikali. Chini ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakati Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo akianza ziara hapa nchini, nchini kwake yameanza maandamano ya Wabunge Wa Upinzani wanaopinga kuvuliwa ubunge wao na Mahakama ya Katiba. Chanzo:ITV...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Uturuki Reccep Tayyep Erdogan amesema kuwa ana matumaini kwamba mfumo wa kujilinda dhidi ya makombora wa Urusi ambao Washington unauona kama tishio kwa ndege za Marekani utawasilishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mapatano ya kufuta sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara ya Russia na China Jun 07, 2019 07:14 UTC Rais Xi Jinping wa China ametangaza habari ya kutiwa saini mapatano ya kufutwa sarafu ya...
16 Reactions
113 Replies
14K Views
Maafisa wa serikali ya Burundi na vijana wa Imbonerakure wanahusika na kupigwa,kukamatwa kiholela, kupotea na kuuwawa wapinzani tangu wa kweli mpaka wanaodhaniwa.Shirika la Human Rights Watch...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Aliyekuwa makamu wa Rais kwenye serkali ya kidemokratik iliyoongozwa na ndugu barack Obama yupo kifua mbele katika kura za maoni zinazopigwa kumshindanisha na Rais aliyeko madarakani bwana D...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama imesema kifungu cha sheria kilichokuwa kikitoa hukumu ya kifungo cha hadi miaka 7 jela kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia kuwa kinakiuka katiba ya nchi hiyo Jaji aliyekuwa...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Judgment of the Human Rights Court of Strasbourg,France. Unanimously, the World Court of Human Rights has established, verbatim, that "there is no right to homosexual marriage." The 47 judges of...
30 Reactions
289 Replies
24K Views
Back
Top Bottom