International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imetangaza kuwa imeshambulia uwanja wa ndege wa Jazan huko kusini magharibi mwa Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani. Shambulizi hilo linatajwa kuwa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kutokana na facts zilizopo katika hii video. China is seriously fighting a losing battle. US wanahitaji cheap labor na manufacturing China anahitaji soko la US na kuendelea kuiba technology.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Tukio hilo lililosabanisha rubani afariki dunia limetokea katikati ya Mji wa Manhattan ambapo baada ya ndege hiyo kutua ililipuka kwa moto Jengo hilo la ghorofa 54 limeathiriwa katika sehemu yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UINGEREZA: Chama cha Conservative chafungua mchakato wa kutafuta mrithi wa Theresa May Aliyewahi kuwa Waziri waa Mambo ya Nje, Boris Johnson na Waziri wa sasa wa Mazingira, Michael Give...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wabunge nchini Marekani, na watetezi wa haki za binadamu wanaishutumu China kwa kueneza mfumo wa kiimla huku ikiziunga mkono serikali za kidikteta na zenye ukandamizaji duniani, kuwapeleleza na...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewasili mjini Khartoum, Sudan, tayari kwa mazungumzo ya usuluhishi baina ya Baraza la Kijeshi na viongozi wa waandamanaji kufuatia ukandamizaji uliofanywa na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KUPITIA SERA YA "FÜHRERPRINZIP" NCHINI UJERUMANI HATIMAE ADOLF HITLER ALIKUWA UJERUMANI NA UJERUMANI IKAWA HITLER. Na Comred Mbwana Allyamtu Sunday -23/9/2018 Sera hii ya "Führerprinzip" neno...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
https://amp.theguardian.com/politics/2019/jun/02/sam-gyimah-joins-tory-leadership-race-offering-second-referendum Sam Gyimah investment banker aliye wahi kufanya kazi na Goldman Sachs na sasa ni...
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Thousands of Liberians gathered in the capital Monrovia Friday to protest "corruption and creeping dictatorship" in the country. Social media sites were later blocked to quell the protests...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
https://www.tasnimnews.com/en/news/2019/06/09/2028057/iran-unveils-new-air-defense-missile-system Ukiwa na Nguvu utadumu ktk hali zote! Huu ni msemo maarufu kwawenzetu wazungu! Iran ineendelea...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu Jun 08, 2019 02:17 UTC Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
https://beta.washingtonpost.com/news/retropolis/wp/2018/01/08/oprah-winfreys-weirdly-revealing-donald-trump-interview-from-1988/?outputType=amp
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Supermarkets in Asia are Now Using Banana Leaves Instead of Plastic Packaging Supermarkets in Vietnam have adopted an initiative from Thailand that makes use of banana leaves instead of plastic as...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waandamanaji Sudan watangaza uasi wa kiraia nchi nzima Upinzani nchini Sudan umetangaza kufanya kampeni ya uasi wa kiraia wa nchi nzima kuanzia Jumapili (09.06.2019) hadi pale baraza la kijeshi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kampuni ya Huawei inaendelea kupata pigo baada ya pigo. Kampuni ya facebook imeipiga marufuku Huawei kutumia application zake. Facebook inamiliki application kama facebook, facebook lite...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Waziri wa zamani na Mbunge wa jimbo la Blantyre Kaskazini Mashariki mwa Malawi, Cecilia Chazama amevunja nyumba aliyokuwa amemjengea mama mmoja maskini kwenye jimbo lake baada ya mama huyo...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Vikosi vya usalama nchini Sudan vimewakamata viongozi watatu wa upinzani baada ya kukutana na waziri mkuu wa Ethiopia mjini Khartoum ili kusaidia katika mazungumzo ya amani. Mohamed Ismat wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
9 June 2019 Polisi nchini Ujerumani imetoa taswira ya kutisha kuhusu udhalilishaji watoto nchini humo. Kulingana na takwimu za uhalifu za mwaka 2018, zaidi ya watoto 100 waliuawa, na maelf...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Nimeangalia jinsi Donald Trump anavyomsifia huyu jamaa George P Bush, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyu jamaa alimuunga Donald Trump mkono kipindi cha kampeni, mbali na zile kejeli zote...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom