International Forum

News and Stories from rest of the World
Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka...
9 Reactions
105 Replies
6K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za Magharibi kuwa na kiherehere cha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine hasa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Nchi hizi zimekuwa...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Uzi huu hauna cha kufanya na ushabiki wala udini. Haipo siri Marekani na Israel ni wamoja katika kukabiliana na wanavyoita vitisho kwao. Hii bila kujali kuwa vilivyo vitisho kwao vinaweza kuwa ni...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake Siku 5 zilozipita Netanyahu alitangaza mauaji (assasination) ya viongozi wa Hamas na Hezbollah. Leo IDF...
2 Reactions
6 Replies
530 Views
Wakuu, Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa. Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia...
2 Reactions
20 Replies
846 Views
Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye...
2 Reactions
0 Replies
181 Views
Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Baba wa Mtoto mmoja (Zahwa Arafat), Mohammed Abdel Raouf Arafat al Qudwa al Husseini ndilo jina lake halisi ingawa utotoni alipewa jina la 'Yasir/Yasser' likimaanisha asiye na makuu/Easy Going...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
27 Reactions
136 Replies
6K Views
Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru. Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria...
2 Reactions
5 Replies
409 Views
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni. Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa...
3 Reactions
88 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah. Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea...
16 Reactions
125 Replies
3K Views
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East. Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing...
2 Reactions
1 Replies
421 Views
[emoji298]️BREAKING - UPDATE: ALMOST 70 DEAD AND INJURED ISRAELI SOLDIERS Idadi ya wanajeshi wa Israeli waliouawa na kujeruhiwa katika operesheni ya "Binyamina" inayolenga kambi ya Brigedi ya...
12 Reactions
95 Replies
3K Views
Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Nukuu muhimu wakati wa vita hiyo kutoka kitabu cha mambo ya Walawi 26:7 Leviticus 26:7 Nanyi mtawafukuza adui zenu, nao wataanguka mbele zenu kwa upanga And ye shall chase your enemies, and...
0 Reactions
3 Replies
173 Views
Vita ya kwanza na yapili ya dunia ilisababishwa na Magaidi gani? Heading inajitosheleza sidhani kama kutakua na majibu ya ngonjera mm nataka kuelewa hvo na maelezo yanayoeleweka tu.
7 Reactions
32 Replies
941 Views
Back
Top Bottom