International Forum

News and Stories from rest of the World
Wanaukumbi Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli. Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza...
2 Reactions
124 Replies
10K Views
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa...
32 Reactions
148 Replies
5K Views
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile. Alikuwa...
9 Reactions
205 Replies
4K Views
Nikiangalia vyanzo mbali mbali vya milengo yote nimegundua kuwa, Israel hana presha kama ile aliyo kuwa nayo gaza. Nimegundua sababu zifuatazo: 1. Pre-emptive strike iliyopelekea kumuua...
15 Reactions
39 Replies
1K Views
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amezitaka nchi zote za kiarabu kuungana Ili wamshughulikie Adui Khamenei amesema Adui wa Waislam ni mmoja tu BBC Huyo Adui ni nani? Yahudi au...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa. Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama...
4 Reactions
10 Replies
493 Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake...
9 Reactions
223 Replies
6K Views
IDF yagundua handaki lenye Vifaa vya kivita ambayo vingetumika kufanya uvamizi na mauaji makubwa kwa Raia wa Israel. Handaki hilo lililochimbwa na Hezbollah kutoka kusini mwa Lebanon (Ramya)...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Tarehe 16, mwezi Oktoba ni Siku ya Chakula Duniani, na kauli mbiu ya siku hiyo kwa mwaka huu ni “Chakula chaleta usalama duniani, Kujenga kwa pamoja maisha bora na mustakabali mzuri”. Msemaji wa...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
27 Reactions
131 Replies
8K Views
Wakuu, Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha...
2 Reactions
57 Replies
1K Views
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN...
25 Reactions
140 Replies
4K Views
Stuxnet ilikuwa ni programu hasidi (malware) ambayo iliundwa kwa ajili ya kushambulia miundombinu ya viwanda, hususan vinu vya nyuklia vya Iran. Iliibuka mwaka 2010 na inahusishwa na mashambulizi...
5 Reactions
14 Replies
780 Views
Wanaukumbi Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la...
5 Reactions
90 Replies
2K Views
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la...
6 Reactions
19 Replies
849 Views
Back
Top Bottom