Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel.
Netanyau amesema...
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa
MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita
Mungu...
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali...
Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel
Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa...
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu...
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini.
Matokeo haya yanatokana na utafiti wa...
Ukisikia wanaume wapo kazini ndo hii sasa.
Kwa siku pekee ya Jumapili Hezbollah wamefanya operesheni 38 dhidi ya Israel na kusababisha vifo na majeruhi zaidi ya 138 ndani ya Israel kwa siku moja...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha! Mayahudi wamecharuka!
Kufuatia shambulizi baya kabisa kwenye kituo cha mafunzo cha Jeshi la Israel huko milima ya Golani jana usiku, Jeshi la Wanahewa la...
Iran under INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected!
Hal Turner World October 11, 2024
Reports are starting to come in CLAIMING Iran is now under intense cyber-attack. The...
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.
Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya...
Wanakumbi.
YERUSALEMU
Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili...
Wakuu Salama!
Nimeshangazwa na hii taarifa yani mshikaji kampiga kisu mwezie kisa alidhani ni shetani. Mhhh hii sasa inatisha sana.
====================
Mwanamume mmoja wa New Orleans Nchini...
At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says.
Israel air attack on northern Lebanon kills at least 18
At least 18 people have...
Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time
07:46 BST
The...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za...
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.
Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.
Hao jamaa yahudi...
Binti mmoja aliyefariki huko Ghana familia yake imeamua kununua jeneza lenye umbile la umme uliosimama (dinda) na kende zake..nawaza lingehitajika jenesa la umbile la uke lingekaaje na mashavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.