Masaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti.
Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye...
China imewawekea vikwazo maafisa hao ikiwemo marufuku ya kuingia China na maeneo ya Hong Kong na Macau, na kuzuiwa kufanya kazi na maafisa wa China, kwa madai ya kuunga mkono uhuru wa kisiwa hicho...
Wadau hamjamboni nyote?
Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko...
Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72...
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel...
Mr. Netanyahu is above every international regulations, agreements, orders and organizations, including his Big Brother who keeps on loosing control of him. Currently, there is no organ in the...
At least 17 dead, 51+ injured IDF soldiers, in drone attacks against IDF
Hal Turner World October 13, 2024
At least seventeen (17) Israeli soldiers are DEAD and at least fifty-one (51) INJURED...
Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia...
Hii ndo Radar ghali zaidi duniani gharama zake ni zaidi ya Trilioni 2 za kitanzania!!
Israel walipewa na US na ikachukua miaka kuinstall pale Lakini Iran waliilipua kwa sekunde 10 tu
New and...
Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇
Wakristo wa...
Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad
Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii
Syria ni...
Niaje waungwana,
Waungwana najua wengi humu mnashauku kubwa sana ya kutaka kujua ni kwanini Israel mpaka leo tar 10/10 haijaishambulia Iran, licha ya kusema na kuapa kuwa itaishambulia na...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao
Kazi...
Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote.
Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran
______
Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran
WASHINGTON...
Hii ni kali ya mwaka jamaa kasema US wanastahili kuvuna wanachopanda kwasababu hawaitii Israel ipasavyo
Israeli Rabbi Yosef Mizrachi Claims Americans Deserve To Be Devastated By Hurricanes &...
Siku hiyo Iran ilijipanga, kwanza ilitandika radar moja muhimu ya Israel, kisha ikashusha vimondo kama vyote. cheki hii
https://www.youtube.com/watch?v=iWbgFgHgaT4&ab_channel=HindustanTimes
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni...
Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo.
Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.