Rais wa zamani Donald Trump alisema kuwa Israel inapaswa kulenga vituo vya nyuklia vya Iran alipokuwa akizungumza kwenye tukio la kampeni huko Fayetteville, North Carolina, siku ya Ijumaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani
Soma Pia:
Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump
Marekani: Donald Trump...
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon
🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.
How could any Christian...
Hizbollah wameamua kufa na kuwapigania Wapalestina, Iran wameamua kuumia, kuteseka na kufa kuwapigania Palestina.
Dunia upande mwingine imewaacha wapalestina na kuamua kusimama na mwenye nguvu...
Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utafiti kuhusu biashara ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli
Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida
Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran...
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia...
Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa.
Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na...
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka imesema haioni sababu za kumshtaki Rais Cyril Ramaphosa kutokana na Wizi wa Fedha uliodaiwa kufanywa na waliokuwa Wafanyakazi wake kwenye Shamba lake la Mifugo la Phala...
"HABARI ZA DHARURA:
ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo
Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko...
Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali.
Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki...
Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana.
Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa ambazo hazijathibitishwa - Kamanda huyo Jeshi la Iran Meja Jenerali Esmail Qaani hajaonekana hadharani na hajulikani alipo tokea kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa...
Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji...
P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa.
Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds...
Hizibolla bhana! Kile kipindi wakati Israel akishughurikia ipasavyo vile vigaidi vya Gaza, Hizibolla nayo ikiendelea kufanya opereshen kwenye bahari ikipiga na kulipua kila meri iliyotaka...
Ujerumani itasambaza silaha zaidi kwa Israeli hivi karibuni, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anasema, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa cha silaha mwaka huu na kusababisha shutuma za upinzani...
Wayahudi wameokoka na Kuponea :
Washindi Waashuru (722 KK)
Washindi wa Babiloni (586 KK)
Washindi wa Kirumi (70 BK)
Uhamisho kutoka nchi yetu (70 CE - 1948)
Karne za uraia wa daraja la pili...
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.