Kwa mujibu wa gazeti la Haretz la nchini israeli lafichua hali ya kushangaza kuwa baadhi ya vikosi kadhaa vya IDF huko GAZA vilivyohudumu kwa takriban mwaka sasa vyasaini barua ya kutaka kugomea...
Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea...
Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi.
Je, wale ni Magaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina?
Je...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv
Yasemekana mpango huo...
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya...
October 11, 2024
LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT
Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut
Today, 1:55 pm...
Wadau hamjamboni nyote?
Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel
Mtangulizi wake Muhhamad Jabber
aliuawa hivyohivyo mwezi agosti
Taarifa kamili...
Wakuu,
Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao.
Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha...
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home...
China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la IDF limeendeleza zoezi la kuangamiza makamanda waandamizi wa kundi la magaidi ya Hezbollah
Muhammad Ali Hamdan Kamanda mwandamizi aliongoza kikosi cha anti- tank...
Umoja wa Ulaya hivi karibuni ulipitisha mswada wa hukumu ya mwisho ya kesi ya kupinga ruzuku ya magari ya umeme ya Umoja wa Ulaya iliyowasilishwa na Tume ya Ulaya, na kupanga kuongeza ushuru wa...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban...
Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa...
Waziri wa ulinzi wa Israel bwana Gallant ameeleza kuwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah, yamepunguza sana uwezo wa Hezbollah wa kupigana, na Hezbollah kwa sasa hawana mfumo wa kusimamia...
Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa...
Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact.
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house
Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism
Kikao hicho...
Hurricane Milton has weakened further and is now a Category 1 hurricane, according to the US National Hurricane Center’s (NHC) latest advisory.
The storm struck Florida as a Category 3 storm late...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.