International Forum

News and Stories from rest of the World
Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Maombi ya Watu takribani 371 waliokua katika mchakato wa kujaza fomu za kuiomba Serikali ya Switzerland iwaruhusu kujiua kupitia sanduku jipya maalum kwa ajili ya kujiua liitwalo ‘Sarco...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Maajabu (kama walivyokuwa wajinga) hayatakaa yaishe. Ya kwamba mara ya mwisho Ilikuwa angalau mwaka huu. Ya kuwa madai haya si kutokea Kwa vyanzo reja reja: La kutia moyo ni kuwa vita vyote...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
https://www.india.com/lifestyle/top-10-strongest-alcoholic-drinks-of-the-world-from-absinthe-to-everclear-and-beyond-1763153/amp/...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga: Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon. Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19 Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake...
4 Reactions
19 Replies
922 Views
Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa...
17 Reactions
89 Replies
2K Views
Russia Demands Explanation for Biden’s Nord Stream 2 Comments Marekani wameficha kichwa kwenye shamba la karanga huku matako yote yanaonekana ngoja tuone watachomokea wapi. On February 7, Biden...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani...
7 Reactions
13 Replies
758 Views
Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 kusini mashariki mwa Marekani, na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa kwa miundombinu na jamii. Siku chache baada ya kimbunga hicho cha kiwango...
1 Reactions
6 Replies
288 Views
Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema...
10 Reactions
98 Replies
3K Views
Jumatano ya 24th July 2024, ndege vita 4 zinazojulikana kama nuclear bombers za China na Russia ziliingia kufanya "strategic patrol" au "doria ya kimkakati" eneo la Alaska Air Defense...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana. Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
BREAKING: Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zaidi ya kile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili. 🇮🇷 Statement by the IRGC...
18 Reactions
133 Replies
4K Views
Angalia vifaru vya China https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw Angalia vifaru vya urusi
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Back
Top Bottom