Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege...
Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.
Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato...
Mimi na familia yangu leo ifikapo saa mbili kamili usiku tutakuwa sebuleni tukiangalia makala maalum iliyoandaliwa na kitengo cha utafiti wa habari cha Al Jazeera (Al Jazeera Investigation Unit)...
Iran imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia Qatar kuwa sasa hivi haitokuwa na subira kwenye ishu zinazoihusisha Israel. Iran imesema kwamba, Imeachana rasmi na sera hiyo kwa sababu hiyo sera...
🚨Rada ya kisasa toka Russia imeshafungwa Iran tayari kwa kazi ya kuzitambua na kuziingiza kwenye killing zone ndege za F22 na F 35 ambazo nitegemeo la Jeshi la Marekani.
Update: Russian Nebo-M...
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia...
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea?
1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo
2. Mwaka...
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu.
Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada...
Hakuna utapeli mkuu duniani kama utapeli wa kifikra.
Hakuna brainwashing kuu duniani kama brainwashing ya akili.
Vijana wa mashariki ya kati kwa miaka mingi wamepikwa na kupikika katika harakati...
Mji wa Holon huko Israel umepigwa kwa idadi ya Makombora kadhaa huku Al Qasam ambalo ni tawi la Hamas likithibitisha kuhusika na shambulio hilo.
Wakati huo huo inaripotiwa idadi ya makombora...
Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07
Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel,
Tayari...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali Esmail Qaani Kamanda Mkuu kikosi maalumu cha Jeshi la Iran cha Quds amepotea na hajulikani alipo
Mara ya mwisho alitembelea Lebanon mara tu baada ya kuuawa Kwa...
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha...
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini...
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah
Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo
Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger...
🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports.
The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and...
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.
Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa...
Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa.
Shambulio hilo...
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe Serikali ya Israel ipewe kibali kufungua vyuo maalumu Afrika mashariki kutoa elimu ya lugha ya kiyahudi yaani Kiebrania, mila na desturi za kiyahudi, dini ya...
🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values.
My take;
Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.