Jamaa wanaweweseka balaa!
Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la...
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala...
Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya...
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.
Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah...
Leo niwajuze baadhi ya nchi wanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC); jumla zipo 57.
1. Afghanistan, 2. Albania 3. Azerbaijan 4
Bahrain 5. Pakistan 5. Turkey 6. Qatar 7. Bangladesh 8...
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to...
Taarifa zinadai tetemeko la jana la Iran lilitokana na majaribio ya silaha mpya za nyuklia za Iran
BREAKING [emoji1130]
Speculation that Iran’s earthquake was the result of a nuclear test...
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi...
(Hii ni kambi Moja tu)
(Na mlengwa alikuwa Israel)
( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel)
Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea...
Dunia nzima, hakuna nchi inayomiliki makundi ya wapiganaji ndani ya nchi nyingine, isipokuwa nchi ya Iran pekee. Makundi ya wapiganaji yanayomilikiwa na Iran ni pamoja na Hezbolah, Hamas na...
MKUU wa Kanisa Katoliki, Papa Francis,amewatawadha makadinali 20 ambao wataongezwa katika orodha ya kupata mrithi wake baada ya kifo au kujiudhulu.
Miongoni mwa waliotawazwa wakati wa hafla...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya...
Muda wowote kuanzia sasa Israel itaishambulia Iran [emoji1130]
Mkuu wa jeshi la Israel asema kwamba, "tuna mipango imara ya kuishambulia iran na lini tutaanza kuishambulia.
Israel imeshaandaa...
Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms...
Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Rest in peace
Wiki iliyopita Jeshi la Israel lilimuangamiza Nasrallah
Israel ilitekeleza shambulio la kulenga huko Beirut usiku wa Jumatano kwa wakati wa...
Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran
Apr 20, 2023 04:04 UTC
[https://media]
Meja Jenerali katika jeshi la utawala wa Kizayuni...
[emoji1130][emoji1193][emoji1134]Iranian President Ebrahim Raisi has said that Iran will destroy Haifa and Tel Aviv if Israel takes "the slightest action" against it.
"Extra-regional and US...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.