Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel...
Kundi la magaidi la Hezbollah limetangaza kupoteza mawasiliano na aliyetarajiwa kuwa mkuu wake baada ya kifo cha Nasrallah anayefahamika kwa jina la Safi Al din na haieleweki hadi wakati huu...
Viongozi wawili wa Hamas , Muhammad Hussein Ali al-Mahmoud na Said Alaa Naif Al ambao walikuwa wakiishi na kufanyia oparesheni zao kutokea labanoni wameuliwa leo katika mashambulizi ya Israel...
[emoji1630] | [emoji1131] REVEALED:
According to Al-Mayadeen sources, the Islamic Resistance in Iraq carried out 2 operations against israeli targets today:
One strike hit a vital IOF site in...
Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army
BREAKING:
🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli...
BIG BREAKING NEWS 🚨 Iran's Supreme Leader Ali Khamenei has been relocated from Safe location to EXTREMELY Safe Location.
MOSSAD has reportedly discovered his hiding place.
Ali Khamenei is very...
Lebanon imekuwa chini ya mashambulizi makali ya makombora kutoka kwa Israel katika muda wa wiki mbili zilizopita, ambayo yameua zaidi ya watu 1,000, na eneo lake limevamiwa na wanajeshi wa Israel...
Hal Turner World October 03, 2024
Last night, Israel attacked a Russian airbase in Syria with missiles. This morning the Russian Government is telling its citizens "Leave Israel immediately; get...
Wadau hamjamboni nyote?
Haipoi hadi ipoe
Moto na moshi vimeonekana vikiongezeka kwa mbali katika video iliyorekodiwa Yemen kufuatia shambulio la Israeli kwenye bandari ya Hodeidah inayodhibitiwa...
Katika Hali inayoonesha kuwa Ground opereshani ya IDF kwenda vibaya kwa upande wa jeshi la Israel. Usiku wa kuamkia Leo Jumamosi Wapiganaji wa Hezbollah wamefanya shambulizi la kushtukiza baada ya...
My take;
Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody...
Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran.
Aliyekuwa kiongozi...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea...
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Mojtaba ambaye ni mtoto wa pili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei
Mojtaba Khamenei na Rais Ebrahimu Raisi , aliyefariki...
Bado nakataa kuamini. Sitaki kabisa kuamini. Hivi ni kweli? Ama naota? inakuaje kuaje?haiingii akilini? Nadhani sasa Khayatollah ajishike vizuri. Hawa jamaa si watu wazuri.
Akae kwa kutulia sana...
Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameagiza Jeshi la nchi hiyo kufanya ishambulizi la moja kwa moja ndani ya ardhi ya Israel Ili kulipia kisasi...
🚨Lebanese media: Hezbollah member "Ibrahim Amin Al-Sayyed" refuses to assume leadership of the party; and requests to travel to Tehran in order to devote himself to worship in Iran.
Why does no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.