International Forum

News and Stories from rest of the World
Tanzania tunachukulia vitu poa sana. Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza...
4 Reactions
17 Replies
797 Views
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah...
0 Reactions
7 Replies
652 Views
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa...
4 Reactions
20 Replies
915 Views
Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao...
0 Reactions
5 Replies
386 Views
Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi. FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani. Sasa...
1 Reactions
2 Replies
274 Views
Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya...
69 Reactions
286 Replies
17K Views
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma) Video inayosambaa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ziara ya kifalme DRC: Mfalme Phillipe arejesha mali zilizoporwa enzi za ukoloni Mfalme Philippe amekabidhi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mali ya kwanza kati ya vitu 84,000 vilizoporwa...
2 Reactions
7 Replies
581 Views
Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon. Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji...
22 Reactions
84 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu...
29 Reactions
167 Replies
7K Views
Mayotte votes on ties with France Leo hii Visiwa vya Mayotte wanapiga kura kama wapate uhuru au waendelee kuwa chini ya Mfaransa! Chini ya Mfaransa visiwa hivi vyenye watu 200,000...
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha...
4 Reactions
54 Replies
1K Views
Pamoja na kusikitishwa na uvamizi wa Israel kule Lebanon Nchi ya Russia imemuonya Netanyahu asijaribu kushambulia Iran na Syria kwani uvumilivu una mwisho BBC
18 Reactions
134 Replies
4K Views
Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila...
11 Reactions
127 Replies
3K Views
Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo. Shirika la Usimamizi wa Dharura...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tiketi za tamasha la Chris Brown ‘Breezy in South Africa’ katika Uwanja wa FNB, Johannesburg, zimeuzwa zote, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika tarehe 14 Desemba. Hili ni moja ya matukio...
2 Reactions
18 Replies
734 Views
Back
Top Bottom