International Forum

News and Stories from rest of the World
Netanyahu juzi amesema mkono wa IDF unafika kila kona Iran. Nimeangalia interview moja kati ya Rais mtaafu wa Iran Ahmadinejad na CNN -Turk, anathibitisha Mossad wametapakaa kila kona Iran...
23 Reactions
86 Replies
3K Views
Mwamba kasanda au hofu au uwoga au kakubali yaishe?
6 Reactions
23 Replies
598 Views
Israel ameanza kujibu kidogo kidogo.... Tayari Makamanda watatu wa Irani wameenda Akhera. Si vibaya wameenda ku enjoy life ya huko. Mapambano bado yanaendelea. Khayatollah amefichwa sana...
3 Reactions
10 Replies
866 Views
Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
2 Reactions
18 Replies
685 Views
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia...
7 Reactions
51 Replies
1K Views
Baada ya Iran kutuma makombora ya Ballisctic jana kaskazini mwa Israeli na kuharibu baadhi ya miundombinu ikiwemo majengo ya idara ya ujasusi ya Mossad, Israeli imekuwa kimya ikifanya vikao vya...
2 Reactions
14 Replies
925 Views
Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu...
5 Reactions
82 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Shin Bet chief Ronan Bar Mossad chief David Barnea, Defense Minister Yoav Galant, Chief of Staff Lt...
1 Reactions
8 Replies
441 Views
Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000. Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa. Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya...
21 Reactions
126 Replies
7K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama...
6 Reactions
11 Replies
902 Views
US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile...
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom