Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu!
Israeli commander killed in Lebanon, Israel says
The...
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo!
Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi...
Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani.
Wanahabari...
Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya...
Bei ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati ambao unaweza kuvuruga usambazaji wa mafuta...
Afrika yenye barabara na magari machache zaidi katika eneo lolote duniani, lakini ni bara lenye idadi kubwa ya watu wanaokufa kutokana na ajali za barabarani.
Ajali hizo zinachochewa na uzembe...
Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu...
Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati.
Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka...
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake...
Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ?
Israel
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi...
Huu mkwara wa Komandoo Netanyahu imeniogopesha sana
Mosi, Kosa la milele
Pili, Gharama ya milele
Netanyahu amesema ni lazima Iran atalipa gharama iliyotukuka
Credit: Al Jazeera
Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini
Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni...
Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na...
Shirika la kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema kuwa watu 45 wamepoteza maisha na wengine 111 hawajulikani walipo kufuatia ajali ya baharini iliyohusisha chombo kilichokuwa kimebeba wahamiaji...
Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak...
Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Gazeti la Kizayuni la Yedioth...
Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel...
Aliyekuwa mfanyakazi wa CIA Bwana Andrew Bustamente alielezea kwenye Podcast kwamba Taasisi kali kuliko zote za kiintelijensia na kijasusi kwa pande tofauti ni kama zifatavyo;
MMS( Ministry of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.