Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh
Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali...
Wanaukumbi.
Baada ya Israel kumuuwa kiongozi wa Hezbollah wanadhani vitu vimeisha ndiyo kwanza kuna zaidi ya makombora 1000.0000 hayajagushwa.
Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika...
URGENT - ATTACK DRONES LAUNCHED FROM IRAN; BALLISTIC MISSILES ***FIRED****
THE SITUATION IN THE MIDDLE EAST CONTINUES TO WORSEN: ATTACK DRONES LAUNCHED FROM IRAN/IRAQ BORDER AND BALLISTIC...
What does a ground offensive mean for Lebanon and Israel?
Israel has learned from its mistakes during the 2006 invasion, but so has Hezbollah. So what is the plan?
Hayo ni maneno ya AJ,nauliza...
Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao...
Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo.
Msikilize.
Benjamin...
Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo.
Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin...
Hii ndio ilikuwa bendera ya Iran kabla ya take over ya magaidi wa IRGC
Walipoweza kufanya mapinduzi ya itikadi yao walihakikisha kuonesha rangi zao za ukweli. Ugaidi, itikadi kali, uminyaji wa...
1982: Hezbollah iliundwa
1983: Mlipuko wa lori la kujitoa mhanga katika Ubalozi wa Merika huko Beirut, 83 waliuawa.
1983: Mashambulio ya mabomu katika kambi za Wanamaji za Marekani na Ufaransa...
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas.
Jeshi la Serikali ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Shughuli inaendelea kama ilivyopangwa na kukusudiwa
Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas huko nchini Lebanon ameuawa na shambulizi la IDF
Katika shambulio la angani...
Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Huku dalili zikiwa dhahiri kuwa muda wowote IDF wataanzisha operesheni ya ardhini Kusini mwa Lebanon Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa sasa wapo tayari kupeleka Jeshi...
On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse...
Hali ya Benjamen Netanyahu inaelezwa kuwa sio nzuri baada ya kujeruhiwa vibaya na vilipukizi vya makombora yalorushwa na Yemen yakilenga Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Ben Gurion Airport...
Iran President says the U.S. and E.U. lied to him,that if Iran delayed response to Ismael Haniyeh's assassination,a ceasefire in Gaza would be reached.Now a massive attack from Iran is imminent...
India na Japan ni nchi zenye uchumi mkubwa sana. Kama walivyo wenzao China, US, Russia na Nchi za Magharibi wao wanajihusisha karibu na kila sehemu yenye mgogoro.
Nimekuwa nafollow account ya X...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza.
"Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la...
Ukraine imetumia ndege zake zisizo na rubani kutekeleza msururu wa mashambulizi kwenye maghala muhimu ya silaha za Urusi mwezi huu, na kusababisha uharibifu mkubwa katika maeneo hayo na kuharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.