International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili...
2 Reactions
4 Replies
425 Views
Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa...
2 Reactions
0 Replies
241 Views
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote. IDF na mossad wanatisha Ndugu zangu. Huko Kusini mwa Lebanon ambalo ndiyo makao makuu ya Hezbollah hakukaliki Wala hakulaliki kabisa huku hofu kubwa ikitanda. Wameamua...
5 Reactions
7 Replies
676 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: In first address since killing of leader Hassan Nasrallah, Hezbollah deputy chief Naim Qassem says group is ready for any Israeli...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko...
0 Reactions
2 Replies
259 Views
Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Naona mijadala inayoendela imejaa mihemko ya udini. Yule mwenye ushahidi Vita vile pale mashariki ya kati ni vya "dini" embu atupe. Na atuambie ni dini gani hizo Ushahidi wa direct sio wa kuunga...
11 Reactions
43 Replies
731 Views
Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel. Mawingu mazito ya moshi...
13 Reactions
138 Replies
6K Views
Shirika La Umoja Wa Mataifa Linalohusika Na Wakimbizi, UNRWA, lathibitisha kiongozi wa Hamas, Lebanon alikuwa mfanyakazi wao 🤔 ..... The United Nations agency for Palestinian refugees confirms...
1 Reactions
8 Replies
491 Views
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah. Kiukweli sidhani kama...
74 Reactions
254 Replies
8K Views
Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na...
25 Reactions
37 Replies
1K Views
Hezbolla, magaidi wa waislamu wakanusha kwamba kwa sasa hawajamchagua kiongozi yeyote.... Kwa namna viongozi wao wanaliwa, kila mmoja lazima aogope kutajwa yeye.............Maana ukitajwa tu...
5 Reactions
21 Replies
778 Views
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali...
3 Reactions
15 Replies
764 Views
Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border [Menahem...
16 Reactions
102 Replies
7K Views
News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
The Israeli cyber army on Saturday hacked into the control tower of Beirut Airport, the Rafic Hariri International Airport. The IDF breached the communication network of the control tower and...
0 Reactions
1 Replies
302 Views
Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani. HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka. Hawa jamaa ni matapeli...
9 Reactions
81 Replies
3K Views
Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Back
Top Bottom