Naona Israel imeshasema kwamba inajiandaa kuishambulia iran muda wowote katika wakati huu
Na hii hapa kamanda wa Israel ashaliamuru jeshi likae tayari
[emoji1313]
Swali ni jee...
Kama siyo Jeshi la Iran basi sahivi USA na Ulaya ingetawaliwa na magaidi
Rais Ebrahim Raisi wa Iran amepongeza nafasi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kukabiliaina na...
Iran will "blow up the heart of Israel" if the United States or the Jewish state attacked it first, a top official with Iran's most powerful military force, the Revolutionary Guard, warned Friday...
Jana kulikuwa na debate kati ya Jade Vance wa chama Cha republican na Tim Walz kutoka democrats.
Niliangalia hiyo debate, yaani Trump alipomchagua Vance, watu waliona Kama amechagua chaguo...
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha huko Tehran!
Israel kazi anayo kwani mashiha hawataki mchezo wanazidi kupongezana
Jenerali Amir Ali Hajizadeh Kamanda Mkuu kikosi Cha wanaanga wa Jeshi la...
Wanaukumbi.
BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.
"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona...
Mateso ya wavamizi wa Kiajemi
Mateso ya wavamizi wa Kigiriki
Mateso ya wavamizi wa Kituruki
Mateso ya wavamizi wa Kiarabu
Mateso ya wavamizi wa Intifada
Mateso ya ugaidi wa Kiiran
Mateso ya...
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri...
Mateso ya Wayahudi huko Hispania na Inquisition (Karne ya 15)
Mnamo karne ya 15, Wayahudi waliokuwa wakiishi katika Hispania ya Kikristo walikumbwa na mateso makali wakati wa Inquisition ya...
RUSSIA alerts IRAN: 4 ISRAELI F-35's inbound over Persian Gulf towards Iran
Hal Turner World October 04, 2024
Russia just detected 4 IDF F-35 fighter aircraft inbound over the Persian Gulf...
Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo
Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa...
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada...
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya...
Nchi washirika wa Israel zilipigwa kumbo uchumi wake na Covid 19, zikijiandaa kukaa sawa, zikaingia Ukrain kupambana na Urusi. Kwa sasa zimechoka na vita na zilimshauri dogo atulie kwa...
Wanajeshi 2 waangamizwa na wengine 23 wapo hoi baada ya Drone ya Iraq kuwapiga wakiwa usingizini
[emoji298]️BREAKING:WALILALA WAKIDHANI WAPO SALAMA, IRON DOME WHO?....
2 Israeli soldiers killed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.