Hayati Alex Salmond alikuwa Waziri Mkuu wa Scotland na aliongoza kura ya maoni ya kutaka Scotland Ijitenge, kisha akawa muongoza mada kati Televisheni ya Urusi Leo / Russia Today(RT) hadi February...
Joseph Malinowski almaarufu kama 'Lieutenant Dan' amejikuta akitrend toka jana katika mitandao ya kijamii haswa Tik tok na X baada ya kukataa kuondoshwa katika kijiboti chake na askari polisi ili...
Kuna taarifa kuwa wapiganaji 250000 kutoka Iraq watajiunga na vita vya Lebanon!!
Hii vita ya Israel na Hezbollah itakua mbaya sana, na italeta hasara kubwa sana
Lebanon sio Gaza uweke siege, na...
Mamlaka ya reli nchini Misri imesema mabehewa mawili ya reli yalianguka kwenye mkondo wa maji ulio karibu kufuatia ajali hiyo.
Treni moja iligongana na mkia wa treni ya abiria iliyokuwa...
Kadyrov Threatens Senator and Two Deputies: A New Twist in the Wild berries Case
The Russian business world has once again been thrown into the spotlight due to an escalating scandal involving the...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la...
Haya haya nukuletea hapa nchi kubwa au maarufu duniani wenda ulikuwa hufahamu kuwa vyeo vyao vya Urais ni kama bosheni tu havina mamlaka makubwa kulinganisha na vyeo vingine.
No.1 China
Tuanze na...
Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa
Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega
imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon
Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah
Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha...
Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
Pamoja na mambo mengi mengine, Kinjeketile Ngalwe ni Kiongozi anayekumbukwa sana kwa kuongoza na kuhamasisha majeshi yake kupigana vita bila kuogopa na kuwaaminisha kuwa kamwe, risasi za Mjerumani...
BREAKING 🚨🚨
Hezbollah’s Desperation: Unconditional Ceasefire Plea
Naim Kassem, Nasrallah’s former deputy, admitted Hezbollah’s military distress by calling for an unconditional ceasefire. He...
Huko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah!
#Times of Israel
In a separate post, Adraee reiterates...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa...
Jamaa kaenda na ndege yake tena Private jet na msafara wa kutosha na katua Beirut sasa Israel si walisema watalipua ndege zozote za Iran zikitua?
Jamaa kaenda, katua then akaelekea huko kusini...
Daaaah sijawahi kuona shambulizi la kutisha kama hili tokea nazaliwa
To be honestly nakiri Iran nimewavulia kofia hawa jamaa nimeamini kweli sio waarab
Makombora yalorushwa ni kama 500 hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.