Nimejaribu kusoma hapa na pale kuhusu uchaguzi wa kesho Zimbabwe. Inafurahisha kwamba angalau watu wengi sasa hatimaye wameweza kuona ubaya wa Mugabe na inaonekana kesho wameamua liwe na lisiwe...
Ajali iliyohusisha takribani magari 30 imeua watu 18 Mashariki mwa China siku ya Jumatano
Polisi wanasema watu 21 wamejeruhiwa kati yao 11 wapo katika hali mbaya
Ajali hiyo ilisababishwa na...
Nataka kusema Zimbabwe wana jeshi ambalo ni imara makini,na lenye kutumia weledi wake wote katika kuona nchi yao haiendi au kuendeshwa katika mfumo ambao utakuwa ni kinyume kwa kile...
With Isabel Dos Santos being removed as chair of Sanangol by the new President, its worth reading this article wrote by REBECCA ENGEBRETSEN few days before last election.
Isabel Dos Santos...
Pengine watu wamesahau kuwa kitu kinachofanya wazungu sasa waanze kuwa radicalized dhidi ya wahamiaji ni tabia za kishabiki. Kuingia kwa trump kulifuatana na taswira iliyoonekana upande wa...
Umoja wa Afrika na SADC ni vema sasa kuanza kushughulikia viashiria vya kuvunjika kwa amani miongoni mwa nchi wanachama badala ya kusubiri hadi yatokee kama haya yanayotokea Zimbabwe. Viashiria...
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.
Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump
Sababu zipi zinawafanya...
Siku ya Jumamosi chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kilitangaza kuwa, kimempitisha Rais Robert Mugabe kuwa kiongozi na mgombea wa chama hicho katika uchaguzi ujao wa Rais uliopangwa...
Jeshi la Zimbabwe limekanusha madai kwamba mapinduzi ya kijeshi yamefanyika kuiondoa serekali, na kudai kwamba rais Robert Mugabe na familia yake wapo salama.
Katika taarifa iliyotolewa na jeshi...
Jinsi Urusi ilipiga makombora huko Syria kutoka bahari ya caspian sea zaidi ya 1,000kms yakipitia Iraq huku yakikwepa milima kama mbayuwayu
MISSILE IN FLIGHT
The subsonic missile is...
Wakati vita vya maneno vikiendelea kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un inaonekana Trump kuguswa zaidi na kauli zilizotolewa jana na serikali ya Korea...
Mahakama ya Juu nchini Liberia imesimamisha mchakato wa uchaguzi nchini humo siku moja kabla ya kufanyika kwa duru ya pili. Duru ya pili ya uchaguzi wa urais ambao ungeuliwakutanisha nyota wa...
Muhubiri mashuhuri anayetumia nyoka nchini Afrika Kusini Penuel Mnguni amewalisha mende ndugu wawili katika mkusanyiko wa kanisa lake akidai kwamba wadudu hao walibadilika na kuwa jibini kwa mmoja...
Boeng imeanzisha maonyesho yake ya ndege huko Dubai kwa kutangaa mauzo makubwa mapya katika maonyesho hayo ya siku tano.
Ilitangaza kuwa Shirika la ndege la UAE la Emirates limeagiza ndege 40 za...
China imetoa oda ya kununua ndege za Boeing zaidi ya 300,hayo yamejiri baada ya Trump kuzuru nchi hiyo katika ziara yake ya bara la Asia.
Nchi hiyo na Marekani zilitiliana sahihi kwenye mikataba...
Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi walimu 20,000 ambao walifeli mitihani katika jimbo la kaskazini la Kaduna.
=======
President Muhammadu Buhari has thrown...
Jenarali Constantino Chiwenga
ZIMBABWE: Mkuu wa majeshi ametishia jeshi litaingilia kati endapo mtifuano ndani ya chama tawala cha ZANU PF hautamalizwa
Mkuu huyo wa Majeshi Jenerali Constantino...
Majeshi ya Marekani na Korea Kusini yanafanya mazoezi makubwa ya pamoja katika bahari ilio kati ya Japan na rasi ya Korea. Mazoezi haya yalianza tangu mwishoni mwa juma lililopita. Mazoezi ambayo...
DUNIA haiishi vituko na mara zote kumekuwa kunaibuka kwa vituko mbalimbali ambavyo kwa ujumla wake vinasaidia katika kuifanya Dunia kuwa eneo la watu kuishi na kufurahi.
Makala haya ya kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.