Uchunguzi maalum wa Nyaraka za siri maarufu kama 'Paradise Papers' unaofanywa na Gazeti la The Gurdian la Uingereza na vyombo vingine vya habari washirika zaidi ya 95 duniani umegundua kuwa...
Somaliland ni nchi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia mwaka 1991. Nchi hii ndogo toka ipate uhuru marais wanne wameshatawala kwa njia ya kidemokrasia.
Kwa mara ya kwanza Duniani wapiga kura...
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita.
Gazeti linalomilikiwa na...
Are you an African writer? Do you have a story that is set in or about Africa? You can win $100 in Afriforum price for short story, see guidelines for submission...
Kule Marekani binafsi nawapenda sana viongozi kutoka chama cha Democratic.Huwa nawaona kama viongozi welevu wenye mawazo wa kisasa yanayoenda na wakati.
Sasa kuna hawa jamaa wawili, CLINTON na...
Jeshi la Polisi nchini Burundi limewakamata wanawake 14 ambao walikuwa njiani wakisafirishwa kwenda Omani na kundi la watu wa 3 akiwemo raia mmoja wa Kenya na wa 2 kutoka Burundi.
Kikundi cha madaktari wa ugonjwa wa akili waliokutana katika kikao cha dharura huko Yale University Marekani wamedai kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ana matatizo ya kiakili (dangerous mental...
mke wa raisi mugabe mama grace mugabe ameanza kudai urithii wa uraisi hali iliyosababisha kuingia mgogoro na makamu wa raisi ambae anataka kuwania nafasi hiyooo.
wakati huo huo grace mugabe...
SUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir amemuachia huru aliyekuwa Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Paul Malong.
> Rais Kiir amesema amemruhusu ili akatafute matibabu katika nchi za Afrika Mashariki.
> Rais...
Abiria mmoja aliyekuwa anasafiri na Shirika la ndege la Urusi (Russian airline Aeroflot) amelitaka shirika hilo kumlipa kiasi cha Euro elfu 13 sawa Tsh 35 baada ya kuamshwa ghafla na wahudumu wa...
Mpango wa kushambulia mfumo wa kifedha wa Qatar ulioandaliwa na wanachama Umoja wa falme za kiarabu (Emirates) umebainika katika folda ya akaunti ya barua pepe ya balozi wa UAE Marekani, Bwana...
1. France has historical ties with Lebanon, as its former colonial power before it gained independence during WW-II.
2. France has historical ties with Lebanon as the latter's colonial power...
HI!!!!!!
WanaJF habari za muda, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa upendo wake wapekee kabisa kwa kutujali afya njema na tele.
ndg, zangu kwa ufupi,sisi ni vijana wazalendo na wenye nia ya...
VATICAN: Papa Francis amepiga marufuku uuzwaji wa sigara katika mji huo kuanzia mwaka 2018, sababu ya madhara yake kiafya
Msemaji wa Vatican Greg Burke amesema Papa hawezi kushiriki kwenye kitu...
MOSCOW, URUSI: Watu 3 wamefariki dunia baada ya sehemu ya Jengo la Intelijensia ya Nje(SVR) kuteketea kwa moto.
Taarifa zinasema kuwa watu hao walikwama ktk eneo la chini la jengo hilo wakati...
kwa wasiomfahamu huyu bwana ndie aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe mpaka juzi alipofutwa kazi na rais Mzee kuliko wote... Pengine dunia nzima mzee babu Robert Mugabe
Intelijensia ya Mugabe...
Tangu Trump ashinde urais wa Marekani nimeona akihusishwa sana na tunu za kikatoliki na hata yeye kusema wazi ataziendeleza. Pia ameonekana kusifia kazi kubwa inayofanywa na taasisi za kikatoliki...
Rais wa Marekani Bw Donald Trump ameiasa nchi ya Korea Kaskazini kufanya mazungumzo kuhusu mpango wake wa silaha za kinyuklia, Rais Trump ameongea hayo leo tarehe 7.11.2017 wakati anaongea na...
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga amependekeza Serikali ya muda iundwe nchini humo na kutawala kwa muda wa miezi sita kama sehemu ya kutatua mzozo wa kisiasa nchini humo.
Bw. Odinga...
makamu wa rais wa zimbabwe alietimuliwa na rais zimbabwe amekimbilia afrika ya kusini yeye na familia yake akihofia usalama wake
Rais mugabe alimtimua makamu wake huyo akimtuhumu kutaka kumpindua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.