Kampuni ya usafiri ya Uber imekaribia kufanikisha azma yake ya kuunda magari yanayopaa kwa kuungana na Shirika la Safari za Anga la Marekani (NASA) na kuondoa adha ya foleni za magari mjini
Uber...
Watu 26 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mwenye silaha aliyewafyatulia risasi waumini katika kanisa moja jimbo la Texas wakati wa ibada, maafisa wanasema.
Shambulio hilo lilitekelezwa katika...
Saudi Arabia could seize $800bn in assets in corruption crackdown
The Saudi anti-corruption push involving the arrest of princes and government ministers may lead to the confiscation of cash and...
-Asema asijaribiwe.
-Aenda kwa siri eneo hatari (DMZ) karibu na mpaka wa North Korea, hali ya hewa yawa pingamizi..
-Trump Asks Congress for Another $5.9 Billion for Military, Citing North...
Ilikuja habari hapa na watu kuanzia kusifia mwanamama aliyekuwa kwenye baiskeli na kuuonyeshea msafara wa Raisi wa USA kidole cha kati, sasa huyu mama Juli Briskman amefukuzwa kazi kwa kitendo...
Hatareee!
Picha za satelaiti zimeonesha movements za vifaa, madini, mikokoteni na nyenzo husika za majiribio ya kinyuklia ndani ya eneo la West Portal kwenye kituo cha majaribio ya silaha za...
Diane Shima ni mtutsi alizaliwa Kigali 1981, ni mjasiriamali mwanaharakati wa haki za wanawake na kitaaluma ni mhasibu,bado hajaolewa.
Ni mtoto wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri nchini Rwanda...
Mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa Catalonia kutoka Hispania unatarajiwa kufanyika mjini Barcelona leo, wakati mgogoro wa kisiasa nchini humo ukiendelea.
Kiongozi wa zamani wa Catalonia...
United Nations (United States) (AFP) - The United Nations on Tuesday demanded the Saudi-led coalition lift a blockade that has prevented aid deliveries from reaching Yemen where some seven million...
Protesters blocked roads across Catalonia this morning during a strike to demand the freedom of jailed pro-independence politicians and activists.
One group forced the closure of a busy route...
Wachapishaji wa kitabu kinachozungumzia kuhusika kwa kiwango kikubwa kwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika vitendo vya rushwa wameapa kukaidi shinikizo la shirika la ujasusi la nchini humo...
WALES: Mwanasiasa wa chama cha Labour, Carl Sargeant(49) amejiua baada ya kusimamishwa na na chama chake kwa tuhuma za udhalilishaji.
====
Image caption Carl Sargeant had been a Welsh Government...
Israel kujaribu kuingilia suala la North Korea na mpango wake wa silaha za nyuklia na makombora ya balistiki
Katika theluthi ya mwanzo ya mwaka huu, 2017, Israel ilijaribu kuishambulia kwa maneno...
Kumekuwa na milolongo mirefu nje ya maduka ya simu za Apple huko Asia ambapo watu walikuwa wanakimbilia kununua simu mpya ya iPhone X.
Simu hiyo ya kisasa inauzwa kwa bei ya dola za Kimarekani...
Waymo is first to put fully self-driving cars on US roads without a safety driver
Andrew J. Hawkins
Waymo, the autonomous vehicle division of Alphabet, Google’s parent company, reached an...
QADAFFI ANAANZA HIVI:
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema....
Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza...
Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wake wa Rais, Emmerson Mnangagwa kwa mujibu wa Wizara ya Habari nchini humo.
Bw. Mnangagwa mwenye umri wa miaka 75, ameachishwa kazi kwa madai kuwa...
At least 10 people died in attacks in Mali on Monday, as the prime minister cancelled a visit to a central town after a vehicle sent to protect his team hit a landmine.
A bus travelling in the...
Mwanamke aliyepigwa picha akiuonyesha msafara wa rais Donald Trump ishara ya kidole cha kati ameripotiwa kufutwa kazi na kampuni iliomuajiri kufutia picha hiyo.
Picha hiyo ilisambazwa baada ya...
Ombi la kupinga tena ushindi wa Rais Mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta limewasilishwa kwenye Mahakama ya Juu nchini humo.
Mwanasiasa ambaye pia amewahi kuwa mbunge Bw. Harun Mwau amewasilisha Ombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.