Mlipuko mkubwa umesikika karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa nchini Saudi Arabia, mlipuko huo unaelezwa ni baada ya jeshi la nchi hiyo kutungua kombora la ballistika lililorushwa na waasi wa...
President John Magufuli hasn’t just “pushed through” change. He’s achieved things that were considered all but impossible two years ago. The inauguration of John Pombe Magufuli as president of...
Kinara wa Vuguvugu la Ukombozi (NRM), Raila Odinga leo saa kumi alasiri katika barabara ya Koinange jijini Nairobi nchini Kenya. Ameinunua kadi mpya ya mtandao wa Airtel na kujiunga rasmi na...
Bilionea Prince Al-Waleed bin Talal mwenye utajiri unaozidi $ billioni 17 amekamatwa kwa tuhuma za rushwa, amekamatwa na wenzake karibia 50 na wanaendelea kushikiliwa katika hoteli ya kifahari...
Mwanamfalme mmoja nchini Saudi Arabia amefariki baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kuanguka karibu na mpaka wa nchi hiyo na yemen, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Mwanamfalme...
ZANU-PF Youth League has endorsed the party’s Secretary for Women Affairs Dr Grace Mugabe as the right candidate to occupy the Vice Presidency ahead of the party’s Extra Ordinary Congress set for...
Zaidi ya makampuni 800,000 nchini Nigeria, yakiwemo yale ya wanakandarasi wa serikali, hayajawahi kulipa kodi. Hayo yamefichuliwa na Waziri wa fedha Kemi Adeosun.
Kupitia taarifa, pia anasema...
ITALIA: Mwendesha Mashtaka anachunguza vifo vya Wahamiaji Wanawake 26 kutoka Nigeria. Yadaiwa wamenyanyaswa kingono kabla ya kuuawa.
- Miili hiyo imebainika baada ya Meli ya Kihispania Cantabria...
Waziri wa uchumi nchini Marekani Wilbur Ross ameshutumiwa kwa kuwapotosha maseneta nchini humo baada ya nyaraka kuonesha ana uhusiano na Urusi. Nyaraka hizo ambazo zimefichuliwa, ambazo...
Hivi karibuni kumeibuka sex scandals huko USA ambapo watu maarufu hasa Hollywood kama film producer H. Weistein, actor Kevin Spacey wanashutumiwa kuwalazimisha Wanawake bila ya idhini yao, lkn...
Saudi Arabia Jumamosi imetangaza kuwakamata bilionea na muwekezaji maarufu Mwanamfalme Awaleed bin Talal pamoja na wanawafalme wengine wasiopungua 10 mawaziri wanne na makumi ya mawaziri wastaafu...
Polisi katika mji wa Manchester nchini Uingereza wanasema watu 19 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa kwenye mulipuko uliotokea ndani ya ukumbi wa tamasha la muziki.
Waziri Mkuu wa Uingereza...
Wakili mmoja wa kike nchini Zimbabwe ameanzisha kesi ya kufutilia mbali mahari akisema kuwa ni mila iliopitwa na wakati ambayo inawafanya wanawake kuonekana kama mali kulingana na gazeti la...
UBELGIJI: Aliyekuwa kiongozi wa Jimbo la Catalan, Carles Puigdemont pamoja na waliokuwa Mawaziri 4 wajisalimisha kwa polisi wa Ubelgiji
Kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka viongozi hao wako chini ya...
China imefanya kutokuheshimu wimbo wa taifa kuwa kosa linaloadhibiwa kwa adhabu ya hadi miaka mitatu jela ikiwa inajizatiti kuweka ndoto ya kizalendo ya China ya rais wake nayezidisha utawala wa...
Watu 27 au zaidi wamefariki na makumi wengine hawafahamiki walipo baada ya dhoruba iliyopewa jina la Damrey kuikumba Vietnam siku ya leo Jumapili, ikiwa ni siku chache zimebaki kabla ya viongozi...
Kwa kweli wenzetu wako mbele sana kwenye demokrasia, nashindwa kupata picha kama na huyu wa kwetu angekuwa anawekwa mbele ya bunge na kuhojiwa kama alivyofanyiwa Zuma! Hapa kwetu kuna madudu mengi...
Saudi Arabia imetungua kombora ambalo lilikuwa limerushwa karibu na uwanja mkuu wa ndege mjini Riyadh, taarifa zimesema.
Mlipuko mkubwa ulisikika karibu na uwanja huo wa ndege.
Duru kutoka jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.