International Forum

News and Stories from rest of the World
urusi imeanza ujenzi wa kinu cha nuclear kijulikanacho kama Bushar 2, huko Iran. Kinu hicho ambacho kitazalisha umeme wenye MW 2,100 kitatumia teknolojia ya vinu vya nuclear ya kizazi cha tatu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali ya falme ya Saudh Arabia imetangaza rasmi kuanza kwa vita dhidi ya ufisadi. Bilionea Alwaleed bin Talal ambaye ana hisa kubwa kwenye makampuni makubwa Apple, Twitter, Motorola, Time...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
The Sun MORE NEWS SEND IN THE BOMBERS! Russia AND the US send nuclear bombers to North Korea as Kim Jong-un tensions rise The US sent a nuclear-capable B-2 stealth bomber from Whiteman Air Force...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
HARARE, ZIMBABWE: Jeshi la Polisi linamshikilia Raia wa Marekani na kuichukua ''Laptop'' yake kwa tuhuma za kumkashifu Rais Mugabe kupitia Mtandao wa Kijamii. Martha O'Donovan alikamatwa siku ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
932 Views
Humanoid robot Sophia has been made a citizen of Saudi Arabia - giving her more rights than local women Women in the country are not allowed to walk in public unaccompanied COMMENTS Martin...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mahali palipotokea maporomoko na kuua zaidi ya watu 200 Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kufa baada ya kutokea maporomoko katika sehemu za majaribio ya nyuklia ya Korea kaskazini. Maporomoko hayo...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Mamlaka ya Afghanistan inayothibiti mawasiliano iliwaandikia wasambaza 'internet' nchini humo wiki hii na kuwataka kuzia huduma za meseji za WhatsApp na Telegram lakini hakuwa wazi mara moja kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MUISRAELI AWATWANGA JUDO WAARABU NA KUSHINDA MEDANI YA DHAHABU HUKO ABU DHABI WAGOMA KUWEKA WIMBO WA TAIFA WA ISRAEL AAMUA KUIMBA MWENYEWE Kijana Myahudi Raia wa Israel Gili Cohen ameibuka...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Rais Edgar Lungu wa Zambia amewaonya majaji nchini humo dhidi ya uamuzi wowote watakaotoa kumzuia asiwanie nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika mwaka 2021. Amesema hatua kama hiyo ya mahakama...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Haya semeni sasa au kwa kuwa ni Muzungu mtatetea? Raisi wa USA amemteua Jerome Powell kuwa Mkuu wa fed mtarajiwa, fed ndiyo kama Benki Kuu yetu na Powell siyo Mchumi bali ni Mwanasheria kitaaluma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Alberto Kenya Fujimori alikua Rais wa 62 wa nchi ya Peru nchi niliyopo Amerika kusini, kwa mujibu wa vyanzo kadhaa Alberto Fujimori alikua na uraia wa asili ya Japan na vilevile Peru, Fujimori...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Katika tangazo lao la hivi punde rasmi kugomea kununua Bidhaa zilizofadhili Kampeni ya Rais Uhuru Kenyatta na Jubilee. Baadhi ya Bidhaa hizo ni kampuni ya simu ya Safaricom. Na kwa Mtazamo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Korea ya Kaskazini imekana ripoti ya kuanguka kwa handaki kwenye kituo chake cha majaribio ya silaha za nyuklia, Punggye-ri, na kusema kuwa ni ripoti feki, ya uzushi na uongo. Pyongyang imesema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Stanford University ni mojawapo ya vyuo vinavyoheshimika sana duniani. Watafiti wa hiki chuo kikuu kilichoko Marekani wametoa taarifa kuwa tofauti na ilivyodhaniwa huko nyuma, watu wanaovuta bangi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wananchi wa baadhi ya maeneo ya huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo(DRC), wamebuni njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la usafiri hasa wanapofuata huduma za afya. Kutokana na kukosekana kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuku zaidi ya milioni 4 wameteketezwa kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa mafua ya ndege ulioikumba nchi ya Afrika Kusini ====== Bird flu hits South Africa's poultry industry Avian influenza, or...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Kuwait’s Prime Minister, Sheikh Jaber Al-Mubarak Al-Hamad Al-Sabah has submitted his resignation. ...More coming soon ===== Kuwaiti Minister of State for Cabinet Affairs Sheikh Mohammed...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Akaunti ya mtandao wa Twitter ya Rais wa Marekani Donald Trump ilifungwa kwa muda siku ya Alhamisi lakini, ikarudishwa baadaye, Kampuni hiyo imesema. Twitter imesema kuwa akaunti hiyo kwa jina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanafunzi mmoja wa Chuo cha Moscow Polytechnic College nchini Urusi amemuua mwalimu wake mapema baada ya muda wa mapumziko. Mwanafunzi huyo aliyetambulika kwa jina la Andrey Emelyanenkov (19)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom