Waziri wa Vijana Zimbabwe, Ambrose Mutinhiri amesema chama cha ZANU-PF hakitawavumilia watu ikiwemo wapigania huru na wanachama wa chama wake wanaosema Rais Mugabe kazeeka hafai kuendelea kuongoza...
Prosecutors had asked the judge to detain eight of the nine former government members who turned up for questioning in Madrid.
They are accused of rebellion, sedition and misuse of public funds...
Mahakama nchini Pakistan imemfunga mwanamume mmoja miezi sita jela ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake.
Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib, kulipa...
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis amekiri kwamba mara nyengine yeye hushikwa na usingizi wakati anapoomba.
''Wakati ninapoomba , mara nyengine mimi hushikwa na usingizi'', alisema...
Mwanasheria wa Misri amezua balaa baada ya kusema ni wajibu wa kitaifa na uzalendo kwa kila mwanaume kuwabaka wanawake waliovalia jinsi zilizochanika na nguo nyingine zinazoacha mwili wazi...
HABARI WANDUGU,
Ni baada tu ya ziara ya TRUMP majuzi tu kule Korea kusini na haya yanajitokeza , Je kwa mtazamo naweza kusema lengo alitaka kukaa mezani na Korea kaskazini , lakini yakawa magumu...
Ukiwa mfuata mkumbo hata elimu yako haitakusaidia.
Kabla ya kumpinga Trump jiulize umeshawahi kusikiliza hotuba moja kamili ya Trump?
Katika hotuba ya saa moja ya Trump vyombo vya habari vya...
Shughuli masomo katika vyuo vikuu vya umma zinatarajiwa kulemazwa kuanzia Alhamisi, baada ya Wahadhiri kutangaza mgomo wa Kitaifa.
Wahadhiri hao wanalenga kushinikiza Serikali kutoa Sh5.2...
Maafisa wa Afya nchini Kenya wanafanya uchunguzi katika mpaka wake na Uganda eneo la Turkana baada ya maisha ya raia wawili wa Uganda kupoteza maisha karibu na mpaka huo kwa sababu ya ugonjwa...
LIBERIA: Mahakama ya Juu imesitisha uchaguzi wa duru ya pili ili kusikiliza malalamiko ya ukiukwaji wa taratibu katika uchaguzi wa awali.
- Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika tarehe 7 mwezi...
October 31, 2017
New York City, USA
Latest news updates 4:38 Eastern Time
At least eight people are dead after a driver barreled into a bike path and crashed a rental pickup truck into a crowd in...
Mahakama nchini Pakistan imemfunga
mwanamume mmoja miezi sita jela baada ya kuoa mke wa pili bila ya idhini kutoka kwa mke wake.
Mahakama hiyo ya mjini Lahore pia ilimuamrisha Shahzad Saqib...
Burundi. Sasa ni rasmi kwamba Burundi imekuwa nchi ya kwanza mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujiondoa ikiwa ni mwaka mmoja tangu ilipowasilisha maombi yake.
Oktoba 27...
Leo wale wanaolewesha, wanaosema uongo, wamepata washirika wapya teknolojia na wanaweza kukigeuza kitu cha kweli au mtu wa kawaida kama mimi aonekane dikteta mumwagaji damu. Lakini siku chache...
Familia moja nchini India imepigwa na mshangao baada ya mlango wa ndege kuangukia nyumba yao katika mji ulio Kusini mwa India wa Hyderabad.
Mwanamume ambaye alikuwa akipaka paa la nyumba rangi...
Kompyuta ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani
inayoripotiwa kuwa na michoro ya jumba la Trump
Tower, na taarifa zingine za siri imeibwa kutoka
kwa gari la afisa mmoja mjini New York.
Hata hivyo...
Serikali nchini China ipo mbioni kupitisha sheria itakayotoa maamuzi ya mtu au kikundi cha watu watakaokaidi kusimama wakati wimbo wa taifa ukipigwa kufungwa miaka mitatu jela.
Muswada huo tayari...
Hackers wa NK wanatuhumiwa kufanya shambulio la wizi wa kimtandao dhidi ya kampuni ya kutengeneza meli, manuari na nyambizi za kijeshi za SK.
Kampuni ya Daewoo shipbuilding company, inadai kuibiwa...
Ripoti mpya ya mabadiliko ya hali ya hewa imeonyesha kuwa kuongezeka kwa joto kunaathiri afya ya binaadam kwa kiasi kikubwa.
Ripoti hizo kutoka kundi la vyuo mbalimbali na mashirika tofauti ya...
Mwanamke ajulikanaye kama Asiya Bibi anashitakiwa kwa kosa la mauaji ya watu 15, huko Pakstan.
Mwanamama huyo, ambaye alilenga kumuua mmewe baada ya kulazimishwa kuolewa na mwanaume asiyempenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.