Urusi imekuwa moja ya nchi katika dunia hii isiyotegemea mchango wa Marekani na Umoja wa ulaya(EU) katika katika maswala ya maisha.kutokana na upatikanaji wa madini mengi ya kila aina,warusi...
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE...
CAMEROON: Mahakama ya Kijeshi imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela Kiongozi wa Upinzani, Aboubakar Saddiki. Alituhumiwa kwa makosa ya uhaini.
Mwanasheria wake na Shirika la Kimataifa la kutetea...
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K.
Kidume N.K baada y...
Gazeti la Nation lina nakala ya barua ya mwanaharakati huyo ambayo ina majina ya watu 11 wa familia ya Gupta, baadhi yao wakiishi Marekani. Wengine waliotajwa katika barua hiyo ni Zuma...
Picha iliyopigwa na Brianl Nganga wa Kenya, imemuonyesha askari wa nchi hiyo akilia wakati akitekeleza majukumu yake ya kutulia ghasia katika kipindi hiki cha uchaguzi wa marudio nafasi ya...
Ndugu wana board,
Salaam kwenu.
Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu(Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii.
Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili...
Tume ya uchaguzi Kenya kupitia Mwenyekiti wake Ndugu Chebukati wametangaza rasmi Rais Uhuru Kenyatta mgombea wa chama cha Jubilee kuwa ni mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini Kenya...
Rais wa marekani Donald trump atafanya ziara yake korea ya kusini ikiwa ni wakati ambapo hali ya penisula ya korea ni tete, nina maswali mengi sana juu ya ziara hyo lakini ngoja niuliza matatu tu...
Instagram: theinnovationhouse14
Join US if you are serious.
THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE Established in 2014 with a vision to deliver the highest level of dedication and professionalism...
wiki iliyopita nakala za siri juu ya kifo cha JF Kennedy kuwekwa wazi, kuja zaidi ya karatasi 1000 ambazo hazikuwekwa wazi.
Raisi Trump amedai ya kwamba nazo zitawekwa wazi baada ya majina na...
Zaidi ya kusoma kilimo cha Ndizi Jamaika enzi hizo sijawahi sikia shughuli nyingine ya kiuchumi Jamaika.
Ni nchi isiyotajwa sana japo imetoa watu maarufu kama Bob Marley,Bolt,Kuna mchezaji wa...
Taifa la Burundi hatimaye limekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC.
Hatua hiyo inajiri baada ya rais wa taifa...
Habari wakuu...
Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa...
Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy ameivunja serikali ya jimbo la Catalonia, bunge la jimbo hilo na ameitisha uchaguzi wa mapema utakaofanyika tarehe 21 mwezi Desemba.
Waziri mkuu wa...
Baadhi ya nchi za Ulaya na Urusi zimeshambuliwa na kirusi cha Ransomware; Vyombo vya Habari ndio walengwa. Viwanja vya Ndege pia vimelengwa.
Vilevile Tovuti ya wadukuzi kubadilishana taarifa za...
Vikosi vya usalama vimefanikiwa kuikomboa Hoteli ya Nasa-Hablod iliyokuwa imetekwa na Wapiganaji watano wa Al-Shabaab. Wanamgambo hao waliivamia hoteli hiyo baada ya kulipua mabomu wliyoyatega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.