Madaktari nchini India wamefanikiwa kuwatenganisha mapacha wawili Jaga na Kalia walioungana vichwa waliokuwa na umri wa miakamiwili na nusu
Operesheni hiyo ilifanywa na jopo la madaktari 30 kwa...
Tarehe 22 November 1963 ni siku aliyekuwa Rais wa Marekani wa 35 John F Kennedy aliuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas Texas Marekani. Rais Donald Trump amekubali ripoti ama mwenendo wa upelelezi...
Kama tulivyo hivi karibuni mgogoro wa kujitwnga kwa wacatalani nchini spain huku seeikali ya Madrid ikitumia nguvu kubwa kuizima democracy iliyotumika kujitenga na spain huku ikiiondoa serikali...
Mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Valentino Talluto amehukumiwa kifungo cha miaka 24 jela kwa kuwaambukiza wanawake zaidi ya 30 virusi vya UKIMWI, baadaya kufanya nao ngono bila kinga huku akijua...
Kweli wazungu ni watu wanafki sana wanajarbu kututawala waafrika kwa kutulazimisha tufanye vitu ambavyo hata wao hawafanyi.
Katka swala la Catalan kujitoa Hispania kuna vitu vingi nimejifunza...
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni...
A friend of mine from Tanzania wanted to get a passport just to have it in case she wants to travel outside Tanzania and they wanted her to submit a proof that she is in fact has such trip...
Hivi karibuni marekani walisogeza vifaa vya kijeshi nchi zilizo karibu na urusi na kuanza kufana mazoezi karibu na mpaka wa urusi.
Katika hali isiyo ya kawaida marekani na NATO kwa ujumla wamebaki...
Wakuu nilikuwa nawatch CNN ya Marekani, nikamkuta yule tajiri number 2 duniani (Bill Gates) akiwa analiongelea bara la Africa kwa ujumla. Mwandishi wa CNN alimuuliza Bill Gates....kwa nini bara la...
Baba Mtakatifu, Francis amefanya mazungumzo Jana na Wanaanga Sita walioko kituo cha Kimataifa cha Anga za juu(ISS).
katika mazungumzo hayo, Papa Francis amewauliza Wanaanga hao Maswali Matano...
Rais Donald Trump wa Marekani, ameamrisha idara
ya kitaifa ya kuhifadhi kumbukumbu, kutoa zaidi ya
stakabadhi elfu tatu, yanayohusishwa na mauaji ya
aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy...
hillary Clinton na Democratic Party and anti Trump walitafuta sababu Kama Trump akichaguliwa aondolewe madarakani.Uchunguzi unapoelekea wamegundua James comey alitumia fake document kuanza...
Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna wasiwasi katika eneo hilo huku pande zote mbili zikifanya mizururu ya mazoiezi ya kijeshi.Haki miliki ya pichaREUTERS
Korea Kaskazini inasema kuwa itaiachilia...
Raia wa Afrika Kusini, wengi wao wanachama wa kundi la wapenzi wa jinsia moja wameandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria kushinikiza kuachiliwa huru kwa watu 13 wanaozuiliwa nchini...
AFRIKA KUSINI: Mahakama yawahukumi kifungo cha miaka 11 na 14 wakulima 2(Wazungu) kwa kumteka na kumuweka katika jeneza kijana mweusi.
Wakulima hao walimtishia kumchoma moto kijana huyo na...
Miili mitatu ya familia iliyochomwa moto ikitolewa hospitali tayari kwa mazishi
Baba mmoja katika mji wa Coimbatore nchini India ameiteketeza familia yake kwa kuichoma moto akikwepa kulipa deni...
Watu 10 au zaidi wameuawa na wengne 20 kujeruhiwa kwenye maandamano ya ghasia siku ya Alhamisi kwenye mji wa Ambo mkoa wa Oromia baada ya maafisa usalama kuwapiga risasi waandamanaji
Maandamano...
Baba mmoja katika mji wa Coimbatore nchini India ameiteketeza familia yake kwa kuichoma moto akikwepa kulipa deni la Shilingi 4,300/= za kitanzania.
Mwanamme huyo aliyetambulika kwa jina la...
Chama cha Kikomunisti nchini China kimepiga kura kujumuisha falsafa zake Xi Jinping katika katiba na kumuinua hadi kifikia kiwango alichokuwa nacho mwanzilishi Mao Zedong.
Kura hiyo ya kuunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.