Sept 17, 2017
Mexico City, Mexico.
By Thomas Lotito of The New York Times
Narcos’ Location Scout Found Dead in Mexico
Carlos Muñoz Portal, a location scout for the Netflix series “Narcos” was...
Leo wakati nasikiliza BBC nilikuwa nikisikia China na Urusi wakiunga mkono vikwazo vipya kwa taifa la Korea Kaskazini naona ni udhaifu mkubwa sana mbele ya Marekani.
Hawa wachina na warusi pamoja...
Jeshi la polisi jimbo la Enugu nchini Nigeria linawashikilia watu 9 kwa tuhuma za kuwabaka waumini wa kike wanaoenda kwenye ibada za mikesha.
Msemaji wa jeshi la polisi katika jimbo hilo, Ebere...
Kimbunga chenye nguvu magharibi mwa Romania kimewaua watu wanane na kuwajeruhi karibu wengine 67, kwa mujibu mwa maafisa eneo hilo.
Wengi wa waliothiriwa walikuwa ndani na nje ya mji wa Timisoara...
Kama Kawaida Yake Kaamua Kuachia JAMBO lingine Upande Ule Ule Wa Japani Je Nn Maoni Yako, Ni Anafanya Majaribio au Anatafuta Sababu..
Serikali ya Japan imesema inapingana vikali na uchokozi huo...
habari..Zenu wanJf
Na izi ndio zana ambazo mmarekani anafanyia kazi au kuzitumia kwa kweli yup vzuri
wale wa Nk mpooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using...
Habari zenu wadau wa siasa hizi za kimataifa.
Kama heading yangu inavyoeleza,natamani saana kupata historia japo kwa kifupi kuhusiana na NORTH KOREA,kwa mwenye uwezo nayo tafadhali naomba...
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa takribani wakimbizi 36 kutoka Burundi wamuawa na Jeshi la DR Congo karibu na mpaka wa nchi hizo. Wakimbizi hao waliandamana wakipinga kitendo cha wenzao...
Bila kumung'unya maneno, Rais wa Korea ya kaskazini ameeleza ni kwa nini anajiimarisha kwa silaha za nyuklia. Ameapa kuwa kamwe hakuna wa kuwazuia kufikia hatma hiyo ya kuwa taifa linalotisha kwa...
Kikosi hatari cha makomandoo wa kimarekani ambacho kinasemekena ndio "The Most Feared Force" katika ulimwengu huu cha US NAVY SEAL maarufu kama Frogmen au The Men With Green Faces, inasemekana...
Waziri wa Afya nchini Uganda, Sarah Opendi aliamua kubadili muonekano wake kwa kuvaa Hijab na kisha kwenda hospitali na kujifanya mgonjwa ili kuthibitisha ukweli wa tuhuma za kuwepo kwa baadhi ya...
Kundi la Hamas lenye mamlaka huko Gaza, linasema linataka kuanza majadilano na wapinzani wao Fatah, ambao wana nafasi kubwa katika mamlaka inayoongozwa na rais Mahmoud Abbas huko upande wa...
As news broke overnight that North Korea has fired a second ballistic missile across Japan, tensions in the Far East approached boiling point - with Kim Jong Un showing no signs of slowing down...
Maafisa wanasema kuwa takriban wakimbizi 18 wa Burundi wameuawa na vikosi vya usalama Mashariki mwa taifa la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Wengine wamejeruhiwa
Maafisa wa DRC Congo pamoja...
Balozi wa China nchini Marekani Mheshimiwa Cui Tiankai amesema Marekani inahitaji kuleta ushirikiano na Korea Kaskazini badala ya kuleta vitisho visivyo na maana wakati Korea Kaskazini ikihitaji...
Korea Kaskazini yaitishia Marekani na kusema kuwa itasababisha machungu makali ambayo Marekani haijawahi kushuhudia kufuatia vikwazo vipya vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa...
Pastor Joel Osteen has gone viral in all the wrong ways.
The Houston megachurch leader has seen his name trend repeatedly in the days since Hurricane Harvey brought floods to the city, in large...
One person was killed and three more injured last night in gunfire in front of a club in the Hohenschönhausen neighborhood in northwestern Berlin, local police reported.
Local newspaper BZ...
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Kwa sasa si america wala si london au africa dunia nzima kwa sasa kuna ongezeko la single mother
Kitendo hicho kimeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.