International Forum

News and Stories from rest of the World
Upepo mkali unaokaribia kimbunga umeanza kuvuma ktk visiwa vilivyo kusini mwa Florida wakati kimbubga Irma kikitarajiwa kupiga eneo la Florida ndani ya masaa machache yajayo. Ujazo wa maji...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ajali imetokea kati ya basi kampuni ya Power tools na truck ya kitanzania namba T236 BTC na bodi T939 BYB. Madereva wote wamefariki wa basi na wa truck. Mpaka sasa dereva wa truck la kitanzania...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la kombora lililopita kwenye anga ya Japan Alhamisi Septemba 14 saa nne usiku saa za kimataifa (sawa na Ijumaa asubuhi Septemba 15 saa za Tokyo). Kombora...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka 20 iliyopita saddam hussein wa Iraq alipewa kesi ya kumiliki nyuklia akavamiwa na Marekani na mshirika wake Uingereza. Mbaya zaidi licha ya waangalizi wa umoja wa kimataifa kupinga Saddam...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Korea ya kaskazini imetishia vikali kulipiza kisasi kwa Marekani na Japani huku ikiita Korea ya Kusini kama msaliti na Mbwa wa Marekani ikiwa ni baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
7 Reactions
96 Replies
9K Views
Montreal Canada / New York city USA Boeing trade complaint won't slow CSeries deliveries: Delta CEO Delta Air Lines (DAL.N) will not delay its 2018 deliveries of CSeries planes from Canada’s...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiongozi wa Russia Vladimir Putin, akiwa anaongea kwenye mkutano wa 'Brics group' (Brazil, Russia, India, China and South Africa) uliofanyika Xiamen, China, amesema kuendelea kutaka kuiwekea...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Urusi na belarusi zimeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150 pamoja na kikosi cha mashambulizi ya mbali ya makombora Wizara ya mambo ya ndani ya Urusi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huko ni India. Na hapa kwetu inawezekana. We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with...
1 Reactions
3 Replies
786 Views
Mbunge mmoja nchini Israel amejiuzulu baada ya kukosolewa na vingozi wa dini kwa kuhudhuria ndoa ya wapenzi wa jinsia ya mpwa wake. Mbunge huyo Yigal Guetta, alifichua wakati wa mahojiano ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Burundi ametekwa nyara katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura na watu wenye silaha wakiwa wamevaa sare za jeshi la polisi la nchi hiyo, kwa mujibu wa familia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Korea kaskazini imesema iko tayari kuendelea na mpango wake wa nyuklia kupambana na maadui kama Marekani,japani,na korea kusini wanaotishia amani ya watu wa korea pamoja na vikwazo walivyowekewa...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Hillary Clinton aneandika kitabu " What happened".Kwenye hiki kitabu Hillary anaonekana amechanganyikiwa sana kushindwa uchaguzi.Scandal yake ya server anasema " Alitaka kwenda kwa wachawi Ili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa linamshikilia Diane Rwegara na Familia yake kwa mahojiano. Awali Polisi walikanusha kuhusika kumshikilia na kudai hata wao wanamtafuta kufuatia taarifa...
1 Reactions
90 Replies
9K Views
Mkurugenzi kutoka Shirika la Ujasusi (CIA) Mike Pompeo, amesema kuwa mkanda walioupata wa ngono wa Osama Bin Laden akiwa nchini Pakistan hautaonyeshwa hadharani na shirika hilo. Mike amekieleza...
1 Reactions
4 Replies
12K Views
LIFAHAMU TAIFA LA MYANMAR/BURMA AU SUVANNABHUMI (NCHI YA KIDHABAHU) NA CHIMBUKO LA MAUAJI YA KIMBALI DHIDI YA WAUMINI WA KIISLAMU YANAYOTEKELEZWA NA WAUMINI WA DINI YA KIBUDHA. [Makala hii...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
From: BBC Migrant labour in Gulf countries has long been a subject of controversy, and the system that regulates it has now spawned a black market for domestic servants who are bought and sold...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Kwamba alikuwa daktari wa binadamu,na pili alipata kumtibia Malkia Elizabeth kwa kigezo kuwa ndiye Daktari mwenye kiwango cha juu kwa kipindi hicho,na kuongezea hapo kwa sharti kwamba ahasiwe?
1 Reactions
200 Replies
38K Views
North Korea has threatened to send "more gift packages" to the United States, days after testing the biggest nuclear weapon it has ever detonated. Han Tae-song, ambassador of the Democratic...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kutokana na kuwa mtoto wa Rais wa kwanza Kenya Mzee Jomo Kenyatta (Baba wa Taifa), Uhuru Kenyatta analiona taifa la Kenya na Wakanya wote kama ndugu zake wa damu. Ndiyo maana Kenyatta anawapenda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom