International Forum

News and Stories from rest of the World
HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwahi kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza ikiwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka. Meli hiyo ni kubwa hadi itahitaji...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
NASA itatoa maelezo baadae wiki hii kuhusu mission yao ambayo haijawahi kutokea katika historia, ya, "Kuligusa Jua" Itakayoanza katikati ya mwaka ujao. The US Space Agency (NASA) is planning the...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Van mows down people in north London
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Botswana Ketumile Masire afariki akiwa na miaka 91 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaMshirikishe mwenzako Sir Ketumile Masire - amechukuliwa na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu jamaa tayari ameshachaguliwa raisi wa US lakini mambo anayofanya ni kama vile bado yupo kipindi cha kampeni. Mabishano na vijembe kila baada ya masaa kadhaa kupitia huko twitter utadhani...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakulima wawili weupe watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini , baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma mtu mmoja mweusi na kumuingiza ndani ya jeneza, huku wakitishia kumwagia mafuta ya petroli...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
The West now have got the rich Arabs where they want them to be, in constant bickering and strife. Trumps visit to Saudia seems to have capped it all! It started with " The mother of all battles"...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Bwana Donald Trump, amevunja utamaduni wa zaidi wa miaka ishirini, ameshindwa kuandaa chakula cha jioni Ikulu kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadan. Je Hili ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huko Moscow leo Raisi Vladmir Putin alikuwa ameenda kutoa Heshima kwenye kaburi la wanajeshi wa Urusi waliokufa kwenye Vita vya pili vya dunia. Sasa alienda kuweka shahada la maua na moja ya...
16 Reactions
84 Replies
12K Views
Ni wakati muafaka wa TISS kuajiri hawa njiwa labda wanaweza kupaa juu na kutuletea reports za zile njemba za kibiti,Njiwa hawa wala hawana makuu maskini ya mungu,we wape mchele na mahindi tu...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Mamlaka nchini Uturuki imevunjilia mbali gwaride la wapenzi wa jinsia moja katika mji wa Istanbul, kwa mwaka wa tatu mfululizo. Polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya watu waliojaribu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Idara ya polisi nchini Colombia, imesema kuwa yamkini watu 6 wamefariki ika ajali ya kuzama kwa boti moja la abiria katika bwawa moja, katika mji mmoja ulioko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Six people were hospitalised after a car crashed into pedestrians outside a sports centre in Newcastle, but Northumberland police said "it is not believed to be a terror incident" (AFP Photo/Paul...
0 Reactions
6 Replies
841 Views
Maafisa wa Marekani wanaamini kwamba Korea kaskazini ilitekeleza jaribio jingine la mashine ya kurushia makombora yake . Jaribio hilo linadaiwa kutekelezwa siku ya Jumatano litakuwa jaribio la...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Donald Trump akiwa kwenye ziara katika jimbo la Iowa amesema hataki kuwa na washauri wa uchumi na mwaziri wa fedha na biashara ambao ni masikini, amesema Waziri wa biashara Wilbur Ross na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Polisi katika Jimbo la Marekani la Virginia wamepata mwili wa msichana wa miaka 17 Muislam ambaye alipigwa karibu na msikiti kabla ya kupotea. Msichana huyo, aliyetambulishwa na ndugu kwa jina...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Katika mgogoro uliotokea kati ya Qatar na nchi za Saudh Arabia na washirika wake serikali ya Marekani ilitaka Saudh Arabia kumaliza mgogoro na Qatar kwa haraka. Katika moja ya masharti Saud Arabia...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni vema lifahamike kua Mw/Mungu ndiye muumba ardhi na mbingu kama nnavyo Amini ktk Imani yangu..na pia ndiyemjua wa yote yale yalopita na ya'jayo,nirejee ktk Mandiko yake yalio tukuka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Korea ya kaskazin imesema kwamba jaribio la hivi karibuni la udunguzi wa kombora la masafa marefu(ICBM) lililofanywa na Marekani ni hatua ya hatari ambayo inaleta chokochoko za kijeshi. Pia...
8 Reactions
68 Replies
12K Views
Back
Top Bottom