International Forum

News and Stories from rest of the World
URUSI: Tume ya Uchaguzi yamfungia kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani kiongozi wa Upinzani, Alexei Navalny. Taarifa ya tume imesema kuwa kiongozi huyo hastahili kugombea urais kutokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maonyesho ya jeshi la Marekani na la Korea ya Kusini, kama onyo kwa adui yoyote wa Marekani au Korea ya Kusini
2 Reactions
72 Replies
16K Views
Katika sintofahamu jana jimbo la New Hampshire mwakilishi wa jimbo hilo alisema aliyekuwa akigombea kiti cha urais Hillary Clinton anastahili adhabu ya kupigwa risasi kwa maelezo zaidi soma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zaidi ya watu 100 wanahofiwa kufariki baada ya sehemu ya Mlima kuanguka na kuyafukia makazi yao katika kijiji cha Xinmo katika Kaunti ya Maoxian Kusini mwa nchi ya China. Takribani waokoaji 400...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nejad Alijaribu Kutaka Kugombea Ilikwisha Vp Lile Suala Lake?
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Onyo alilokuwa akitoa Obama juu ya Trump kuwa hana sifa za mtu makini wa kuwa Raisi wa Marekani zimeanza kujionyesha wazi. Wamarekani wameanza kuona kuwa na Trump White House ni tatizo kubwa sana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari kugonga umati wa watu waliokuwa wakitembea karibu na msikiti kaskazini mwa London. Mwanamume mmoja wa umri wa miaka 48 alikamatwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
June 19, 2017 Shambulio lingine London, Gari lagonga watu kadha Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari la mizigo kuvamia kundi la waenda kwa miguu, karibu na msikiti ulioko kaskazini ya mji mkuu...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema kuwa inachunguza taarifa za kifo cha kiongozi wa Dola ya Kiislam, Abu Bakr al - Baghdad baada ya vikosi vya nchi hiyo kufanya shambulio la anga wakati viongozi wa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa maraufa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatoa himaya na uungaji mkono kwa makundi ya kigaidi likiwemo la Jabhat al-Nusra linaloendesha harakati zake huko...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Jeshi la utawala wa Kizayuni limemfukuza mwanajeshi mmoja aliyekataa kumpiga risasi binti wa Kipalestina aliye na umri wa miaka 16 kwa jina la Nauf Infiat. Katika tukio hilo ambalo lilijiri...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Shirika la ndege la American Airlines limepata ombi kutoka shirika la Qatar Airlines ambalo linataka kununua asilimia 10 ya shirika hilo la Marekani. American Airlines ilisema kuwa Qatar ina nia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadukuzi wa Urusi walilenga majimbo 21 wakati wa kampeni za uchaguzi wa Marekani ,kulingaa na maafisa wa Marekani. Jeanette Manfra wa idara ya usalama wa ndani alikataa kutaja majimbo hayo wakati...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ametangaza kujiondoa kwa Marekani katika makubaliano ya Paris juu ya mabadiliko ya tabia nchi. Amesema mkataba huo si wa haki na unahatarisha mamilioni ya nafasi za kazi za watu...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Imetokea Afrika Kusini katika mji wa Lady Frere kondoo kuzaa mtoto kama binadamu na kuzua tafaruki miongoni mwa jamii. Hata hivyo, wataalamu wa mifugo wamekanusha kwamba huyo kondoo sio nusu...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
The US is repositioning aircraft in Syria after Russia threatens to target them
0 Reactions
7 Replies
953 Views
Shirika la ndege la Israel EI AI limepigwa marufuku kutowaomba wanawake kubadilisha viti iwapo mwanamume wa kiyahudi atakataa kukaa karibu nao ,mahakama imeamuru. Abiria Renee Rabinowitz ambaye...
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Leo tarehe 3 mwezi WA pili(2) nchini Mozambique tunasherehekea sikukuu ya mashujaa,na tunakumbuka mauaji ya aliyekuwa muasisi wa frelimo hayati eduardo mondlane,tunawapongeza mashujaa wetu wote...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
It is with heavy hearts that we announce the death of Quett Ketumile Joni Masire born 23 July 1925 in Kanye, Botswana. Botswana's second President passed away tonight at 10pm after a few days in...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hakumrekodi aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la FBI James Comey licha ya kudai hivyo hapo awali. Alituma ujumbe katika mtandao wake wa Twitter kwamba...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Back
Top Bottom