Australia inasema kuwa inasitisha kwa muda oparesheni zake za kijeshi nchini Syia baada ya onyo kutoka Urusi kuwa italenga ndege za muungano unaoongozwa na Marekani,
Serikali ya Australia inasema...
Chama cha Republican kimeshinda uchaguzi muhimu wa bunge la Congress katika jimbo la Georgia ulioonekana na wengi kuwa kura ya maoni dhidi ya utawala wa rais Donald Trump.
Huku kura zote ikiwa...
Ndege aina ya F/A-18E Super Hornet (sawa na iliyo pichani) ilitungua ndege ya serikali ya Syria
Urusi imeonya kuwa itashambulia ndege za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria iwapo ndege...
Viongozi wa dini ya Kiislam 130 wamegoma katakata kuongoza sala ya kuwaombea Magaidi waliohusika katika shambulio la London.
Jana Polisi walitoa taarifa yenye jina la muhusika wa tukio hilo, hata...
Mohammed bin Nayef (right) as crown prince
Saudi Arabia's king has appointed his son Mohammed bin Salman as crown prince - replacing his nephew, Mohammed bin Nayef, as first in line to the...
YULIN, CHINA: Maandalizi ya tamasha la nyama ya Mbwa yaanza ingawa kumekuwepo taarifa za mamlaka za serikali kuzuia tamasha hilo kwa mwaka huu.
Vyama vya kutetea haki za wanyama vimepinga tamasha...
Wanajeshi wa Ubelgiji wamemuua kwa kumpiga risasi mlipuaji wa bomu wa kujitoa muhanga, katika kituo kikuu cha reli mjini Brussels.
Idara ya polisi imesema kuwa mtu huyo alikuwa amevalia kile...
Belgian soldiers shot a terror suspect after an explosion rocked the central train station in Brussels on Tuesday in the latest attack to hit Europe.
Witnesses said the suspect shouted "Allahu...
Hizi taasisi kama FBI na CIA zinapenda mno kuwa huru
na kuheshimiwa
Sasa huyu Trump kaingia mkenge mkubwa
na bado....
Why the FBI might wage "war" on Trump — and how they would actually do it
Otto Warmbier, mwanafunzi mwenye asili ya Marekani aliyekuwa na umri wa miaka ishirini na miwili, aliyerejeshwa nchini humo wiki iliyopita baada ya miezi kumi na mitano ya kushikiliwa nchini Korea...
Treni ilikwama ikiwa inafanya safari ya Machadodorp na Carolina in Mpumalanga baada ya reli yake kuibwa siku ya Ijumaa, hii inatokana na kuwa na madini mengi ya chuma
Wizi wa vyuma vya reli...
Leo wakati nasikiliza BBC SWAHILI kukikuwa kuna mjadala unazungumzia bara la AFRICA.
Lakini wakati nikisikiliza uchambuzi kutoka hawa wenzetu wanasema bara la africa ni bara linachambuliwa...
Mahakama imemhukumu miaka miwili jela mwanaume mmoja baada ya kumning'iniza mtoto wake dirishani kwa lengo la kumpiga picha mtoto huyo ili apate Likes nyingi katika mtandao wa Facebook.
Baada ya...
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ahamia K. Kusini kwa kuogelea
Image caption Ramani ya Korea kaskazini
Mwanajeshi mmoja wa Korea Kaskazini ametorokea Korea Kusini kupitia kuvuka mto Han kwa kuogelea...
JUN 16, 2017 @ 06:49 AM 967 The Little Black Book of Billionaire Secret
Commercial Bank of Africa (CBA), the financial institution controlled by President Uhuru Kenyatta’s family, has agreed to...
Leo nimefikiria sana kuhusu hali ya kisiasa nchini Burundi ambapo mgogoro umeendelea kudumu bila kupatiwa utatuzi wowote, ijapokuwa Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa anajitahidi...
SOMALIA: Watu 10 wafariki baada ya wapiganaji wa Al Shabaab kuegesha gari lililotegwa milipuko ktk eneo zilipo ofisi za Serikali.
======
At least 10 people were killed when Shabaab Islamists...
Kuna wasi wasi mkubwa nchini Ureno kuwa viwango vya juu vya joto vinavyoendelea kushuhudiwa nchini humo, huenda vikaanzisha upya mioto katika misitu nchini humo, ambayo tayari imesababisha vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.